Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,053
Hiyo ni PROTECTIVE MECHANISM ya mwili kuzuia kitu ambacho hakipo tayari nacho(uume) kwa wakati huo..Ipo controlled Physiologically, Psychologically na Anatomically..
Thats why UKIBAKA unasababisha madhara makubwa kuliko yanayoonekana..
Ushauri; Kama hataki mwache usimlazimishe
Thats why UKIBAKA unasababisha madhara makubwa kuliko yanayoonekana..
Ushauri; Kama hataki mwache usimlazimishe