Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,364
- 72,857
Ndio umemaliza majibu yako? Jee ni Mungu huyo huyo mmoja aliyekuwa chaguo lake ni JK na sasa mteule wake ni JPM?Wewe uliza viswali vyako vya kitoto
lengo lako upewe majibu ya kitoto
na unapo uliza jiulize kwanza mwenyewe swali kama hilo likigeuzwa upande wako unayo majibu!!?
Kifupi
Jk alikuwa mpango wa mungu kuzuia Shetani Lowassa asitupeleke motoni Watanzania
Magufuli pia nimpango wa mungu
kutuletea wakati muafaka
maana Nchi ilitaka kugeuka Janga la Nyumbu
Kila kiongozi ana lakwake
Jk kafanya yake mema
JPM Naye anafanya yake