UKAWA na Zitto wamevurugwa. Kila siku wanakula matapishi yao

Ni jambo la msingi kutafsiri kwa makini hoja. Mnadhani kusema Rais ajaye awe na udikteta kidogo walikuwa wanamaanisha kuwa asiheshimu katiba? asifuate sheria au azuie uhuru wa vyombo vya habari? Kama kuna akili inatafsiri kuwa hiyo ndio maana yao basi akili hiyo kushiriki mjadala hapa JF sio mahali pake.
Udikteta uliokuwa unatakiwa sio wa aina hiyo hata kidogo
 
Kama kweli chadema wako tofauti na ccm ni kwa nini chama kina miaka 20 lakini bado wamepanga ofisi chafu pale mitaa ya ufipa??
Aiseeee! Umekumbusha jambo la msingi sana. Hivi CHADEMA ni lini mtajikomboa kifikra? Kwa nini mnaendelea kujibanza pale Makaburini mnapishana na machangudoa usiku na mchana?
 
Hahahahahaaaa! Mkuu! Kwanimkuna udikteta wa aina ngapi? Hebu nipe somo kidogo. Maana hapa umesema Udikteta kidogo
 
....wewe Lizaboni akili yako fupi sana, hivi huoni hata kosa moja la 'dikteta!', jaribu kuleta uzi utakaopandisha hadhi yako kijana, sio kila siku unaleta uzi wa kukudidimiza tu!, mtoto wa kiume kuwa na ushabiki wa aina yako ni hasara kwa taifa letu!
 
Hawa wapinzani hawana hoja mbadala na kwa kiasi kikubwa wanategemea udhaifu wa watawala ndio waendeshe siasa zao, hawa ni zaidi ya wakurupukaji kwani maamuzi yao yameegemea kupingana na kila jambo litokalo au kutekelezwa na serikali hata kama waliomba lifanyike.
Hapo utaona kuwa mbinu zao ni za kienyeji kwani zimejishikiza katika kupinga kila kitu bila kutoa mbadala wa mawazo na hoja.
 
Kila chenye faida kina hasara zake/ kila mtu ana kasoro zake, kusema " nchi inatakiwa I we na rais dikteta", ni -muono- sasa zinapoonekana kasoro nyingine zitazungumzwa tu!
 
Hahahahahaaaa! Mkuu! Kwanimkuna udikteta wa aina ngapi? Hebu nipe somo kidogo. Maana hapa umesema Udikteta kidogo
Nani akupe somo mtu ambaye tayari ni brain washed? Kama hilo huwezi kuligundua hata wewe mwenyewe basi una kiwango cha chini sana cha uelewa
 
Nani akupe somo mtu ambaye tayari ni brain washed? Kama hilo huwezi kuligundua hata wewe mwenyewe basi una kiwango cha chini sana cha uelewa
Umevurugwa wewe. Hoja yenu ya Magufuli kuwa Dikteta mmeshindwa kuitetea. Ndio maana hata michango yenu humu inakuwa dhaifu
 
Uliye vurugwa ni wewe ambaye posho yako kwa post mtandaoni imepunguzwa toka buku 7 hadi buku 2
 
Kwani mwandiga siyo sehemu ya tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…