Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,374
- 72,891
Ni jambo la msingi kutafsiri kwa makini hoja. Mnadhani kusema Rais ajaye awe na udikteta kidogo walikuwa wanamaanisha kuwa asiheshimu katiba? asifuate sheria au azuie uhuru wa vyombo vya habari? Kama kuna akili inatafsiri kuwa hiyo ndio maana yao basi akili hiyo kushiriki mjadala hapa JF sio mahali pake.
Udikteta uliokuwa unatakiwa sio wa aina hiyo hata kidogo
Udikteta uliokuwa unatakiwa sio wa aina hiyo hata kidogo