UKAWA kugomea Kamati za Bunge

Fani ya Mnyika ni nini kaka?
Nikili kutokujua fani ya Mnyika kiusahihi; lakini kama umesoma vizuri maelezo yangu nimetumia maneno mawili Fani na Weledi! japo la pili linakaziapia la kwanza, nikijua kuwa kuna wabunge ambao hawana fani ila wanaweledi fulani unaweza kukiona anapojieleza, kama kiongozi utatambua huyu nikimweka pale atafaa. Lakini pia kwakuwa sio malumbano ya kutafuta mshindi nani sio mbaya ukaeleza kuwa Mnyika hana fani yoyote, Hata hivyo kama uko sincere huwezi kukosa kufikiria kamati ipi inaweza kumfaa. Madhalani, katika bunge lililopita kwenye mijadala ya katiba na sheria nimepata kuona vichwa vichache tu vikiulizwa na spika na kutoa michango yao akiwamo Mnyika, Halima mdee na Lisu kwa Upande wa upinzani na Chenge, na naibu waziri wa katiba na sheria kwa wakati ule. Hivyo anaweza kuwekwa huko. Spika Makinda ni shahida kwani amewahi kumtaja kati ya Wabunge machachari ambao walimpa changamoto bungeni!!! Mkuu kukosa fani haina maana mbunge atupwe kamati yeyote ile! itakua aibu kwa spika!! Madhalani Spika akiuliza kwanini umempanga mbunge fulani katika kamati ile na akajibu kwasababu hana fani inawezekana sehemu ya ubongo wake itakuwa dormant .
 
Kiukweli walipaswa kungoma kwa sababu wabunge wote ni sawa lakini katika uzoefu elimu uchangiaji na umaihili katika kuwasilisha mada ni tofauti ndio kama mtu aliomba PAC we unawezaje kumuweka katika kamaji ya jamii sawa tunajua huku ndiko kunawaitaji muhimu lakin MTU anajipima kwenye sehemu anayoona anafiti ndio mahaana anapata kumuweka sehemu ambayo akuomba sio sahii
 
Nawaunga mkono wabunge wote wa UKAWA kwa hatua hiyo.

Haiwezekani kamati ya PAC kwa mfano spika amejaza wabunge wa CCM kibao.
Kama sio makusudi ni nini??

Wakati huo huo kamati ya kilimo, mifugo na uvuvi ndo amejaza wabunge wa upinzani.

Kilimo, ufugaji na uvuvi ndo shughuli kubwa ya kiuchumi na kibinadamu ya 80% ya watanzania wote.
Hapo ndo anayataka kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo ya haraka watu wanyonge anatakiwa kujikita.
Kila anayechukia umaskini kwa dhati na anayependa maendeleo ya watu wake lazima ajikite hapa na kubadili maisha ya watanzania hawa.
 
Majukumu ya PAC unayafahamu lakini?

Kwa namna wanavyokuwa na kuenenda wabunge wa CCM ni dhahiri kamati hii itakuwa butu na haitatimiza majukumu yake ipasavyo kama hawataweka ushabiki wao pembeni na kufanya kazi kwa maslahi ya Taifa

Kwani wapinzani wao wangefanya nini ambacho wa ccm hawawezi?
 
Inashangaza sana kuona wabunge wetu tunaowaamini wa ukawa Jana kugoma kuingia ktk kamati walizoteuliwa kwa kudai kuwa sizo walizozitaraji,cha kuchekesha zaidi Mh kubenea baada ya kuona amepangwa ktk huduma za jamii akakasirika na kusikika akisema haiwezekani apangwe huko,kubenea alitarajia atapangwa PAC kitu ambacho kimemkasirisha sana hiyo jana,cha kujiuliza tu kwanini ukawa wagome?

Walijipangia nini ktk nia zao?kwa sheria za bunge PAC lazima iongozwe na mpinzani,je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji?kwanini kina kubenea na wenzao wasiwaamini wabunge wao?

Sio bure ukawa walikuwa na nia ovu,hakuna hata mbunge mmoja aliejaza kamati alioitaka kisha akapangwa huko,safari hii ni tafauti kabisa,na ukawa takriban wote hakuna aliejaza kamati nyengine zaidi ya PAC na maliasili na utalii,nishati na madini.

Poleni sana kwa kukosa ulaji mlioutarajia pigeni kazi tumewachagua mkatuwakilishe,na mwaka huu mkigoma mara tatu tu unafutiwa ubunge.
Ushabiki wa kitoto umeharibu mantiki nzr ya hoja yako!!
 
Duuuhh, kweli kila uchwao watanzania tunazidi kukosa maarifa. Nimeduwaa nikisoma "mada na michango" ya wanajamii forum miaka ya 2012 kurudi nyuma inaonekana kuwa bora zaidi. Mada za sasa na michango ya watu wengi inaonekana kuwa "duni /dhaifu". TUJIPANGE.
Jamii forum ya kipindi hicho ilikuwa na watu serias kwa sababu ilikuwa na watu wazima wa tabaka fulani but now kila mtu ana uwezo wa kupata smart phone cheaply..
 
wanagoma nini? upinzani si walisema wabunge wao wote ni wa viwango vya juu kumbe kuna wengine hamuwaamini hasa wa viti maalumu
Kwenye kamati nyeti kama PAC wanatakiwa watu wenye uzoefu na madudu ya CCM
Bunge hili linaloongozwa na Ndugai tutarajie vituko vingi,ukikumbuka Ni mtu asiye na uvumilivu
 
Inashangaza sana kuona wabunge wetu tunaowaamini wa ukawa Jana kugoma kuingia ktk kamati walizoteuliwa kwa kudai kuwa sizo walizozitaraji,cha kuchekesha zaidi Mh kubenea baada ya kuona amepangwa ktk huduma za jamii akakasirika na kusikika akisema haiwezekani apangwe huko,kubenea alitarajia atapangwa PAC kitu ambacho kimemkasirisha sana hiyo jana,cha kujiuliza tu kwanini ukawa wagome?

Walijipangia nini ktk nia zao?kwa sheria za bunge PAC lazima iongozwe na mpinzani,je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji?kwanini kina kubenea na wenzao wasiwaamini wabunge wao?

Sio bure ukawa walikuwa na nia ovu,hakuna hata mbunge mmoja aliejaza kamati alioitaka kisha akapangwa huko,safari hii ni tafauti kabisa,na ukawa takriban wote hakuna aliejaza kamati nyengine zaidi ya PAC na maliasili na utalii,nishati na madini.

Poleni sana kwa kukosa ulaji mlioutarajia pigeni kazi tumewachagua mkatuwakilishe,na mwaka huu mkigoma mara tatu tu unafutiwa ubunge.
Huyo jamaa bado hajaacha mambo ya hapa na pale?
 
Nikili kutokujua fani ya Mnyika kiusahihi; lakini kama umesoma vizuri maelezo yangu nimetumia maneno mawili Fani na Weledi! japo la pili linakaziapia la kwanza, nikijua kuwa kuna wabunge ambao hawana fani ila wanaweledi fulani unaweza kukiona anapojieleza, kama kiongozi utatambua huyu nikimweka pale atafaa. Lakini pia kwakuwa sio malumbano ya kutafuta mshindi nani sio mbaya ukaeleza kuwa Mnyika hana fani yoyote, Hata hivyo kama uko sincere huwezi kukosa kufikiria kamati ipi inaweza kumfaa. Madhalani, katika bunge lililopita kwenye mijadala ya katiba na sheria nimepata kuona vichwa vichache tu vikiulizwa na spika na kutoa michango yao akiwamo Mnyika, Halima mdee na Lisu kwa Upande wa upinzani na Chenge, na naibu waziri wa katiba na sheria kwa wakati ule. Hivyo anaweza kuwekwa huko. Spika Makinda ni shahida kwani amewahi kumtaja kati ya Wabunge machachari ambao walimpa changamoto bungeni!!! Mkuu kukosa fani haina maana mbunge atupwe kamati yeyote ile! itakua aibu kwa spika!! Madhalani Spika akiuliza kwanini umempanga mbunge fulani katika kamati ile na akajibu kwasababu hana fani inawezekana sehemu ya ubongo wake itakuwa dormant .
Ok, nimekuelewa vema mkuu, mi nikiri tu Mnyika ana uwezo mkubwa na anajituma kuzidi wabunge wengi wa upinzani na CCM, ila sio sahihi kusema Mnyika ana fani sababu alishindwa kumaliza chuo kutokana na "siasa na figisu figisu" za CCM za chuoni.
Pili, ukweli ni kuwa UKAWA ni sehemu ya tatizo ya kilichotokea, wao walitumia nguvu kubwa kupiga propaganda dhidi ya Zitto, CCM wamechukulia mwanya huo kuwakomoa wote, sasa hata malalamiko yao yanaonekana ya kitoto, kama walifurahia Zitto kuondolewa PAC au LAAC, sasa wao wana haki gani ya kulalamika, UKAWA wanekosa dira, na malalamiko yao ni debe tupu.
 
Najua tunataka maendeleo, maisha bora na mambo kama haya , Lakini si kwa staili ileile ya kihafidhina mkuu. Kila mtu anastahili kupata anachostahili mwingine. Sjui kama umenipata!!! wabunge wetu wanayo stahiki sawasawa na ile ya wale wa ccm, sasa kama umefuatilia kwa karibu kilichoanza pale mjengoni ni ama kuna mtoto wa tumboni na wa mgongoni wakati mama yetu ni mmoja.
Umeandika vizuri sana. Ina maana UKAWA hawakupata kamati yoyote? nami ni mwanaharakati wa haki na usawa. Je kwaqni hawafuati kanuni ya proportionality? To be frank nami nimekwazwa na baadhi ya wneyeviti! Na km imefanywa pruporsely basi Bdungai hajamuelewa muheshimiwa atambue kuwa hata kama kuna kanuni nk. Mh. hana haya na mtu itamsumbua huko mbele! All in all jamani wahty we want wananchi ni maendeleo!
 
Jamii forum ya kipindi hicho ilikuwa na watu serias kwa sababu ilikuwa na watu wazima wa tabaka fulani but now kila mtu ana uwezo wa kupata smart phone cheaply..
Wamelimwa Life Ban wale wachangiaji informed wa enzi hizo. Enzi hizi ni za akili kama za Nape na Makamba. Hoja hazitakiwi zizidi matarajio ya mazuzu
 
Wamelimwa Life Ban wale wachangiaji informed wa enzi hizo. Enzi hizi ni za akili kama za Nape na Makamba. Hoja hazitakiwi zizidi matarajio ya mazuzu
ni kweli kabisa maana kwa sasa mtu analeta uzi wa ugomvi wa kuku
 
Kwenye kamati nyeti kama PAC wanatakiwa watu wenye uzoefu na madudu ya CCM
Bunge hili linaloongozwa na Ndugai tutarajie vituko vingi,ukikumbuka Ni mtu asiye na uvumilivu
katika kamati zote za PAC sijaona cha ziada walichofanya zaidi ya kukalili taarifa za CAG wabunge wengi wanapenda hiyo wizara ili wapate sifa kwani mara nyingi kazi kubwa inakuwa imeshafanywa na CAG kama wangekuwa makini hizi taarifa za wizi serikalini au za ukwepaji kodi tungeshazisikia
 
Hata wewe mtoa posti Ubora wako uko tofauti na wengine humu ndani. Ubora wa JK ni tofauti na wa Magufuli japo wote walikuwa mawaziri serikali ya awamu ya Tatu. Ubora wa Kubenea tofauti na wa Mnyika, tofauti na Abdallah Mtolea, tofauti na Mbowe, tofauti na wa Lissu ndio maana naweza kukuuliza Mbunge wa Jimbo la Tunduru kaskazini au Maswa mashariki 2010-2015 ukashindwa kumtaja labda hadi ugoogle lakini ukaulizwa mbunge wa singida mashariki au Arusha Mjini ukamtaja hata ukiamshwa usingizini. Tumia akili motto mpumbavu ni mzigo kwa mama yake.
 
Halafu muulizre spika mbona wenyeviti wa kamati wamepangwa na ccm walipokutana na kinana Dodoma kama unapenda Spika aachiwe madaraka iwe balance kwa wote sio CCM wapange wenyeviti, UKAWA nao wapangiwe na CCM. ZINDUKA USINGIZINI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom