UKAWA kaeni chonjo hii kamata kamata ya TAKUKURU inakuja kuwabomoa!

Safi sana na akipatikana mhusika mkuu naye atamtaja aliyemtuma kama alivyofanya kwenye NEC miaka ile mpaka magamba yakogoma kuvulika!
 
..mtu anataka kuwa Raisi halafu anahutubia dakika 3?

..cdm tulistahili kushindwa. Mgombea wetu alikuwa dhaifu.

..tunatakiwa tujipange upya. Labda tuwekeze zaidi kwenye halmashauri na bungeni.
Mara nyingine huwa nakata tamaa sana, ccm ni janga na upinzani unashindwa kuwa kimbilio, tutapona wapi..uchaguzi huu ulikuwa wetu tulifeli ki mkakati, naona jpm aliwachanganya viongozi wetu hadi kushindwa kuwa na msimamo.
Nilimlaumu lipumba na slaa lakini sasa nawaheshimu sio siri wamegeuka mashujaa, wamesimamia walichokiamini
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..
Na ESCROW pia itafanyika hivyo hivyo? Bahati mbaya it will not happen as you wish? Ikifanyika itakuwa maajabu ya dunia kisiasa.
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!

Nawasilisha..

Kwenye serikali ya ccm wakumkamata lowassa hajazaliwa, kinachomfanya lowassa asizungumzie suala la richmond ni kutokana na sheria kuwa waziri hatakiwi kutoa siri za serikali, lakini kama mkimpeleka mahakamani tegemea mzee wa tezi dume kukamatwa, halafu kwa kukumbusha tu tume ya mwakyembe ilisema wazi kuwa lowassa hausiki ila inamwadhibu kwa kushindwa kuwasimamia watendaji walio chini yake
 
mimi lowasa nilikupigia Kura,
Ila kama katika harakati ya kusafisha nchi ukaonekana bila Uzushi umeshiriki, Nitaungana na Serikali Kwa manufaa ya taifa.
Ila mambo haya yasifanyike kwa uonevu wala wivu, Wote wanaohusika kutufikisha hapa watajwe na kushughulikiwa vilivyo.

Hii ndio peoples power halisi. Hapa hakuna chama hapa ni Utaifa.
 
Kwenye serikali ya ccm wakumkamata lowassa hajazaliwa, kinachomfanya lowassa asizungumzie suala la richmond ni kutokana na sheria kuwa waziri hatakiwi kutoa siri za serikali, lakini kama mkimpeleka mahakamani tegemea mzee wa tezi dume kukamatwa, halafu kwa kukumbusha tu tume ya mwakyembe ilisema wazi kuwa lowassa hausiki ila inamwadhibu kwa kushindwa kuwasimamia watendaji walio chini yake
uliisoma vizuri ripoti ya mwakyembe au uliisoma ile feki iliyoibiwa ushiriki wa lowasa ulitajwa kila hatua au mlifikiri mfumo kama mlivyoaminishwa na chadema ni maswala ya muda tu ukweli utajulikana
 
Mara nyingine huwa nakata tamaa sana, ccm ni janga na upinzani unashindwa kuwa kimbilio, tutapona wapi..uchaguzi huu ulikuwa wetu tulifeli ki mkakati, naona jpm aliwachanganya viongozi wetu hadi kushindwa kuwa na msimamo.
Nilimlaumu lipumba na slaa lakini sasa nawaheshimu sio siri wamegeuka mashujaa, wamesimamia walichokiamini

..Magufuli naye si aliuza nyumba za serikali?

..sasa slaa na lipumba kwanini walifumbia macho kashfa hiyo?

..wapinzani kwa ujumla wao walimdekeza Magufuli na kashfa ya kuuza nyumba, matokeo yake kawapiga kwenye uchaguzi, na sasa atafanya kila mbinu awafute ktk siasa za Tz.
 
Kwenye serikali ya ccm wakumkamata lowassa hajazaliwa, kinachomfanya lowassa asizungumzie suala la richmond ni kutokana na sheria kuwa waziri hatakiwi kutoa siri za serikali, lakini kama mkimpeleka mahakamani tegemea mzee wa tezi dume kukamatwa, halafu kwa kukumbusha tu tume ya mwakyembe ilisema wazi kuwa lowassa hausiki ila inamwadhibu kwa kushindwa kuwasimamia watendaji walio chini yake
hata ile ripoti ya takukuru ya kumsafisha lowasa hosea hakuisaini
 
Baada ya kukamatwa aliyekuwa kamishina wa kodi TRA bwana Kitilya na mkwe wa Lowassa aliyewahi kuhudumu benki ya Stanbic,nimegundua hii kamata kamata hawa wanatangulia mbele tu,kuna mtu anatafutwa.

Kwa jinsi hali ilivyo,na mkuu wa kaya alivyopata shida wakati wa kampeni,sina shaka kabisa kesi ya Richmond inaibuliwa na ikiibuliwa itakuwa na maana kubwa sana kwa serikali na CCM.

Kama itaibuliwa itakuwa na faida kubwa sana kwa watawala. Lakini faida kubwa zaidi ni pigo watakalopata upinzani kwa kukamatwa aliyetajwa kama mhusika mkuu wa sakata hilo ambae pia alikuwa mgombea Urais wa Upinzani kupitia UKAWA. Takukuru wanajaribu kutanguliza hawa ili watu wasije kuona cha ajabu kukamatwa kwa Lowassa.

Ule msisitizo wa kumuombea mkuu wa kaya ili atumbue majipu maombi hayo kwa kiasi kikubwa ni kukamatwa kwa mhusika mkuu wa Richmond. Huu siyo utabiri ni jambo linalochemka,nimeliweka mapema ili we mwanaJF uwe wa kwanza kujua. Endelea kubaki hapa hapa siku si nyingi utajua ukweli.

UKAWA jiandaeni kwa pigo hili takatifu na kwa bahati mbaya nyinyi mtakuwa sehemu ya mashahidi hasa machapisho ya nyuma ya mwanahalisi. Kati ya mkenge mlioingia CHADEMA,huu mzimu wa Lowassa ni kiboko...!!
wakamatwe tu kama ni wezi hakuna namna.

Nawasilisha..
 
Huu ni ukweli ambao hakuna mwanachadema asiyeujua. Na kwa sasa chadema ni km wamefungwa kwenye box lenye matundu ya kutolea hewa tu lkn hawawezi kutoka. Chadema ile tunayoijua siyo hii iliyomkumbatia lowassa. Tukubali tu chadema tulifanya kosa kubwa sana!! Ilikuwa afadhali hata agombee james lembeli kuliko lowassa...!!
Nawewe unaweza kujiita mwanaChadema?
 
Sisi tunataka kujua waliobeba mihela kwenye masandalusi pale stanbic kwenye sakata la ESCROW Vinginevyo hizo zitakuwa sinema kama sinema zingine.
Btw wanataka kututoa kwenye issue ya MCC.
mbona MCC sio issue ya kukamatwa mtu... watu wamekataa na hela zao.
 
Sisi tunataka kujua waliobeba mihela kwenye masandalusi pale stanbic kwenye sakata la ESCROW Vinginevyo hizo zitakuwa sinema kama sinema zingine.
Btw wanataka kututoa kwenye issue ya MCC.
Nabado kinawaka muda wowote
 
Huu ni ukweli ambao hakuna mwanachadema asiyeujua. Na kwa sasa chadema ni km wamefungwa kwenye box lenye matundu ya kutolea hewa tu lkn hawawezi kutoka. Chadema ile tunayoijua siyo hii iliyomkumbatia lowassa. Tukubali tu chadema tulifanya kosa kubwa sana!! Ilikuwa afadhali hata agombee james lembeli kuliko lowassa...!!
Hehehe umesema kweli
Hawa wanalijua hilo
 
Haina haja ya kubishana ukweli utajulikana tu na kama anahusika haina hsja kuogopa sheria itachukua mkondo wake
 
Nawewe unaweza kujiita mwanaChadema?
Bahati nzuri jamii forums haina siri,ukitaka kujua me nipo upande gani,tafuta mwenyewe post zangu za mwaka jana utapata majibu...!! Na baada ya uchaguzi nilisema kuhusu udhaifu huu wa kumpokea lowassa. Ningekuwekea link lkn naona uvivu hangaika tu mwenyewe.
 
Safi sana nilijua ni lazima Lowassa atajwe na waabudu mizimu. Hivi wewe na wenzako mje mtuambie Lowassa alipata faida kiasi gani kwa sakata la Richmond na ama alilipwa kiasi gani au washirika wake walilipwa kiasi gani? Halafu huu umajunun wa kuugeuzia ukweli mgongo mtaacha lini?

Mitambo ya Richmond iko Pale Ubungo inatumiwa na Symbion kuiuzia Tanesco umeme, sasa tatizo la Lowassa na Richmond ni nini? Kama uharamu ni mitambo mbona mnaitumia, kama tatizo ni Lowassa mbona hamsemi msimamo wa aliyekuwa bosi wake, yaani Kikwete ulikuwa nini? Hivi Richmond na Escrow-Tegeta, Aggreko na mauza uza mengine kipi hasa kina ushahidi ulio wazi?

Hao hao Stanbic waliikopesha serikali ilipe hela za Escrow na zile hela kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba ziliibwa kimfumo, leo kufikishwa kwa mkwe wa Lowassa imekuwa nongwa, kwamba hapo Lowassa anahusika. Mbona Mwanaisha alipofeli hamkusema kama baba yake anahusika?
Amesema mtulie
Unaumia kama mmechangia damu na Lowassa
 
Bahati nzuri jamii forums haina siri,ukitaka kujua me nipo upande gani,tafuta mwenyewe post zangu za mwaka jana utapata majibu...!! Na baada ya uchaguzi nilisema kuhusu udhaifu huu wa kumpokea lowassa. Ningekuwekea link lkn naona uvivu hangaika tu mwenyewe.
Hakunaga Askari anaekimbia LINDO ikiwa ulikuwa mCHADEMA basi niwale mnaoamini ktk watu sio chama
 
Huu ni ukweli ambao hakuna mwanachadema asiyeujua. Na kwa sasa chadema ni km wamefungwa kwenye box lenye matundu ya kutolea hewa tu lkn hawawezi kutoka. Chadema ile tunayoijua siyo hii iliyomkumbatia lowassa. Tukubali tu chadema tulifanya kosa kubwa sana!! Ilikuwa afadhali hata agombee james lembeli kuliko lowassa...!!
try kuwa smart next time.....eti kwa sasa chadema ni kama 'wa'mefungiwa kwenye box but at the same time unajiita wee ni mwanachadema.....eti nawee ni GT...
 
Back
Top Bottom