Ukavu ukeni

Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo?

Nawasilisha
Sio rafki yako sema we mwenyewe;! Anyway cha kufanya
Abadili life style hasa diet
Aepuke kula vitu VYA kukaanga kama chips ale mara nyingi michemsho
 
Awe anatumia kupaka nje ya sehem zake za siri, na wakati wa tendo kidogo tu. Tatizo la ukavu ni tatizo linalowapata wamama wengi, mwambie asiwe anajiosha kama anayeosha bakuli. Hii sehemu ya mwili hujisafisha yenyewe atumie baada ya muda kila kitu kitakuwa safi mboga za majani pia atumie sana
 
Mbona umengangania sana ni mimi!!!! Kikubwa ni ushauri wa jinsi ya kutatua tatizo bhana, na mhusika ni mwanamke
 
Awe anatumia kupaka nje ya sehem zake za siri, na wakati wa tendo kidogo tu. Tatizo la ukavu ni tatizo linalowapata wamama wengi, mwambie asiwe anajiosha kama anayeosha bakuli. Hii sehemu ya mwili hujisafisha yenyewe atumie baada ya muda kila kitu kitakuwa safi mboga za majani pia atumie sana
Asante
 
Kunywa maji kwa wingi,pia tumia vyakula jamii ya mikunde na mara nyingi kula karanga korosho aua nuts za aina tofauti ikiwa ni pamoja na nazi mbichi tafuna kwa wingi.
 
Finger sio nzuri ukeni kwa mujibu wa madocta
ndio maana uke unakauka,unajua kazi ya vidole kweli?? vidole vinakazi kubwa na vinamfikisha mwanamke bila kutumia dushe.Na ambao awataki mtu apaguse uko chini n wale waliokeketwa.
 
Nilimaanisha kwa wale wanaume wanaotumia vidole kuingiza ukeni kama dushe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom