Ukata unavyowaliza wabunge kikatili: Waacha vyumba hotelini na kuhamia Guest House

Ja,mani mbona maisha ni kawaida mnawasingizia wabunge kwani wao hawana akili kama wangeona shida wangesema kwanini mnawasemea?
 
Wabunge ni wanafiki zaidi wale wa ndiooooo... Wacha nao walale vichochoroni labda akili zitawarudi
 
Sheenzzz kabisa hawa wabunge waliobariki makato 15% bodi ya mikopo, wameshiriki kubariki kufutwa Fao la kujitoa!

"Bhanyana gete gete"
 
Kwakweli mhe.rais kama anatusikiliza sisi walala hoi afanye kweli wabunge wakatwe mishahara yao yaani hawa wabunge hawana utu hata kidogo na watz
 
Chanzo: Gazeti LA Nipashe

Hapa kazi tuuuuuuuuuu! Kidumu chama!........…..
"Nikisema uchumi wetu umepanda" mnaitikia kwa sauti "Umepandaaaaaaaaa"

View attachment 493110
Hali nilikuwa naiomba usiku na mchana. Iwapo hali hii ikiendelea,chama cha siasa kitakuwa kinatafuta watu wa kukiwakilisha chama bungeni wale wenye wito. Ilifikia watu wanataka kutoana roho majimboni kisa mahela ya anasa wayapatayo buungeni. Maprofesa, madokta vyuo vikuu watapungua kwenda huko isipokuwa watakaoteuliwa tu.
 
Hawa wabunge wamejaa siasa

Mpaka sasa wana akiba ya billion 8 alafu kutwa nzima kulialia.
Je sisi wenye mishahara ya laki 4 tufanyaje??
Kwani wale waliokuwa bunge la kutunga katiba zile fedha walimaliza? Mbona walilipwa fedha nyingi sana alafu kile kiinua mgongo walicholipwa zaidi ya milioni mia ngapi sijui
 
Hawa wabunge waliobariki makato ya asilimia 15 ya basic salary kwa ajili ya Bodi ya Mikopo si wa kuhurumia hata kidogo.

Wacha waisome namba maana wanashindwa hata kuungana na badala yake wabunge wa chama fulani wao wako busy kuwakomoa wabunge wenzao badala ya kuunganisha nguvu kuibana serikali na kusimamia haki zao na za watanzania wengine.
Kweli kabisa kaka acha waisome mbwa hawa
 
Ukata ndio new UKUTA walidhani wataosoma number ni wale upande wa pili tu sasa yamewafika! Anaona pesa serikali inapotea bure wanapiga porojo bungeni.......ni dharau kwa kiwango cha mwisho kabisa!!!

Ana shauri hata bunge lisiwepo! Ataendesha nchi kwa akili zake za PHD ya maganda korosho!!! Ebooo
maganda ya korosho
 
Hawa wabunge waliobariki makato ya asilimia 15 ya basic salary kwa ajili ya Bodi ya Mikopo si wa kuhurumia hata kidogo.

Wacha waisome namba maana wanashindwa hata kuungana na badala yake wabunge wa chama fulani wao wako busy kuwakomoa wabunge wenzao badala ya kuunganisha nguvu kuibana serikali na kusimamia haki zao na za watanzania wengine.
Wanatumia wingi wao kupitisha mambo ya kijinga
 
Back
Top Bottom