UKATA: Lunch time Hotel ya Ubungo hostel yafungwa

Asante kaka ila ikitoshe tu..sijui hata tecno inafananaje.mi najua tecno ni toi za watoto.chief..wakati naenda kufanya masters UK..2010 bila Shaka ulikuwa unatoa funza miguuni kwenye nyandili..nikusaidie tu..Mimi mhaya msomi.mwenye hela za Kati.
Acha kutudhalilisha wahaya boya, hakuna mhaya mshamba wa namna hii
 
Nimekupata kituko nilidhani landmark hotel ya pale riverside bahati mbaya me sio mwanafunzi mvaa mabango wa udsm, sasa Hutu alietoa huu uzi baada aelekeze vizuri
Naanza tatzo sijasoma degree naona yeye aliesoma yuko vizuri kufuatikia biashara za watu..
Rekebisha kauli mkuu aisee. Udsm sio wavaa mabongo
 
Hawa jamaa wameje ga hostel nzuri,Na kubadili hotel kuwa hostel huku wakilenga madenti wa udsm,walipokosea ni kuweka bei kubwa,bila kufikiria mwanafunzi huyo atahitaji usafiri(daladal)atakuwa mbali na chuo so hatoweza kubaki prepo,Na kila huduma hapo atalipia na pia watakuwa wanne kwenye kajichumba wakati hela ya kulipia mwezi hapo akienda pale Survey analipia Miezi minne.

Pili,Hostel Mpya Zinazojengwa na JP Magufuli adjacenti to Mlimani City zitaua soko la hostel na magheto mengi sana maana zitachukua wanafunzi 4000 wanaoishi nje ya Chuo.

Kazi kwako,unapofanya biashara laZma ufanye fizibiliti stadi
 
mtoa mada ana undugu wa damu na kaoge. Nimemaliza
Hahha kwa sababu baba yako mzazi ndiyo mkufunzi na Mwalimu wa kaoge ukadhani na Mimi ninatabia hizo..

Kamuulize mama yako mzazi ndiyo atakuelezea vizuri Kama Mimi na undugu na kaoge au La..
 
Hawa jamaa wameje ga hostel nzuri,Na kubadili hotel kuwa hostel huku wakilenga madenti wa udsm,walipokosea ni kuweka bei kubwa,bila kufikiria mwanafunzi huyo atahitaji usafiri(daladal)atakuwa mbali na chuo so hatoweza kubaki prepo,Na kila huduma hapo atalipia na pia watakuwa wanne kwenye kajichumba wakati hela ya kulipia mwezi hapo akienda pale Survey analipia Miezi minne.

Pili,Hostel Mpya Zinazojengwa na JP Magufuli adjacenti to Mlimani City zitaua soko la hostel na magheto mengi sana maana zitachukua wanafunzi 4000 wanaoishi nje ya Chuo.

Kazi kwako,unapofanya biashara laZma ufanye fizibiliti stadi
Fizibility stadi = upembuzi yakinifu
 
Sasa wakaji wakibeba mali zao zote na kuondokanazo Dar siitabakia jangwa? Unadhani kuna Mzaramo ana gorofa mjini?
 
Nasema na kusisitiza ni LUNCH TIME NA SIO LANDMARK.. kaka tatizo lako hujasoma degree..ungekuwa ulisoma degree ungekuwa na mazoea ya kuja hostel ungeijua lunch time hotel.

Unabisha tuu..hata dar yenyewe huijui..upo matombo Morogoro huko eti na wewe unajifanya mzawa.
Kweli ushamba mzingo, we muhaya kwa hiyo ukisoma degree ndo unaijua LUNCH TIME?
 
Haya uliesoma degree naona huko kwenye promotion hongera
Nilikuina mjanja kumbe fala tu haya mambo ya kuelekezana unaleta ujuaji basi endelea kufurahia degree yako
Mkuu wahaya ni washamba sana sijawahi kuonana aisee. Kapata kadegree basi anajiona kamaliza dunia.
 
Nina degree zaidi ya moja.pumbavuu zenu nyiee wakati wazee wetu wanatusomesha..baba zenu walikuwa wanakata viuno.

Mtakuwa ma house boy hadi yesu aje..vufutu nyie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom