Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,916
- 11,269
Na hivi vtu vina negative perceptions kwa RAIA wengi wajirekebishe next time.

Mku pole sana. Naomba kujua huyo mama aliyekaa pembeni Mkuu wa dar ni nani wakuu
Picha pls nataka nijionee mwenyewe bashite akiwapo....Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha wake
Kwanza ni lazima tutambue kwamba mojawapo ya hitaji kubwa sana la mwanadamu ni kupendwa, mengine ni kuheshimiwa kuthaminiwa kusifiwa na kutambuliwa utu wake
Kwenye kipengele cha mahusiano, swala la ukaribu lina nafasi yake muhimu sana...kwamba ni nani una ukaribu naye kwa muktadha gani, rafiki? Mpenzi? Mdau? Nk nk
Mahusiano ya kimapenzi ni tofauti kabisa na mahusiano yako kirafiki na katikati ya hayo mahusiano ya kirafiki kuna tofauti kubwa kati ya Kuwa na rafiki wa kawaida wa Jinsia moja na Jinsia tofauti
Ni kwa muktadha huo wa utafauti wa kijinsia ndio watu huweka shaka wanapoona marafiki wawili wa Jinsia moja wanafanya vitu vilivyopaswa kufanywa na watu wa Jinsia mbili tofauti
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
Mambo ya protocol ni ujuzi na kitengo hicho inabidi kiwepo na kiheshimiwe na kutambuliwa... Unaweza kudhani hakina maana lakini kuna umuhimu mkubwa sana kwenye mambo ya kitaifa
Ifike tu mahali tuache ujuaji na kuacha mgawanyo wa madaraka uwe ndio mwongozo wetu
Nimewahi kuambiwa na Marehemu Babu yangu....na huu ulikuwa ni kama HUSIA....Kwamba hakuna kitu/mtu anacho penda/anaempenda mke wako ama kukichukia/kumchukia kama rafiki yako wa karibu......
Asantesana ila hilo la pili mmh
Mbona naskia jamaa anatoa mambo kwa watu? Au wanamzushia tuWatu wanahisi tu vibaya ila hamna chochote kati ya wawili sema tu Raisi hataki kumtumbua kwa sababu zake
Kuna mahali nimemtaja kwa jina?
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
sawa....Unahitaji maombi
Wewe kila kitu sawa
Sawasawa....
Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha wake
Kwanza ni lazima tutambue kwamba mojawapo ya hitaji kubwa sana la mwanadamu ni kupendwa, mengine ni kuheshimiwa kuthaminiwa kusifiwa na kutambuliwa utu wake
Kwenye kipengele cha mahusiano, swala la ukaribu lina nafasi yake muhimu sana...kwamba ni nani una ukaribu naye kwa muktadha gani, rafiki? Mpenzi? Mdau? Nk nk
Mahusiano ya kimapenzi ni tofauti kabisa na mahusiano yako kirafiki na katikati ya hayo mahusiano ya kirafiki kuna tofauti kubwa kati ya Kuwa na rafiki wa kawaida wa Jinsia moja na Jinsia tofauti
Ni kwa muktadha huo wa utafauti wa kijinsia ndio watu huweka shaka wanapoona marafiki wawili wa Jinsia moja wanafanya vitu vilivyopaswa kufanywa na watu wa Jinsia mbili tofauti
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
Mambo ya protocol ni ujuzi na kitengo hicho inabidi kiwepo na kiheshimiwe na kutambuliwa... Unaweza kudhani hakina maana lakini kuna umuhimu mkubwa sana kwenye mambo ya kitaifa
Ifike tu mahali tuache ujuaji na kuacha mgawanyo wa madaraka uwe ndio mwongozo wetu
Hahahahaaaa yule mvulana mwenye msambwanda wakeMnamuongelea yule mvulana mwenye mijitako mikubwaaaaaaaa????
OK lengo la uzi huu ni kutaka mjadala hojaji kwenye ishu nzima ya mahusiano yenye kutia shaka sana hasa kwa Jinsia moja asanteNaomba nieleweshe kwanini maneno hayo yamevutia wadau kurusha picha za wanaume wanaojihusisha na hayo kama pichani?
Kwa nini haya!? Kwanini kuleta uzi unaobeba haya na hadi picha hizo zote?
Ndio maana nimetaka kujua lengo lako la huu uzi ni lipi?