Ujumbe wa Edo Kumwembe

Kauli za kujifariji hizi sana sana unazikuta tu huku africa hadi huyo unae msema aje afe atakuwa ameshakula bata la kutosha infact kila binadam lazma aje afe.........

sasa hizo bata za kutosha utaenda nazo wapi? fikiria vizuri usikurupuke mkuu
 
Alie kusudiwa nadhani atasoma na kwa bahati mbaya asiposoma mashoga zake watamsimulia, ila sina hakika kuwa ataelewa, na kwa bahati mbaya akielewa wala hatajali.
 
sasa hizo bata za kutosha utaenda nazo wapi? fikiria vizuri usikurupuke mkuu
Embu niambie mtu kama Makonda ataishi Luxury life maisha yake yote hapo alipo anapata huduma zote muhimu akiumwa anapelekwa Mumbai, S.Africa na mwisho wa picha haji kuishi milele

Maskini kama wewe utaishi kwa tabu na hudumu zote muhimu utasiskia kwenye bomba utafanya kazi kwa tabu, maisha yatakugonga mwisho wa picha hutaishi milele haya bado tu hujaona huo utofauti??
 
Wale wa kuquote uzi mzima mshaanza, jamani jibuni bila kuquote mnatupa shuda acheni uzwazwa
 
Embu niambie mtu kama Makonda ataishi Luxury life maisha yake yote hapo alipo anapata huduma zote muhimu akiumwa anapelekwa Mumbai, S.Africa na mwisho wa picha haji kuishi milele

Maskini kama wewe utaishi kwa tabu na hudumu zote muhimu utasiskia kwenye bomba utafanya kazi kwa tabu, maisha yatakugonga mwisho wa picha hutaishi milele haya bado tu hujaona huo utofauti??
[/QUOT

una uhakika na unachokiongea?we unaijua kesho yako?rudia kusoma ujumbe uelewe halafu ukomenti vitu vya akili

kama bado hujaelewa, mungu akusaidie na akufungue macho na akili.
 
Hata uwe maskini utakuta tu hizi ni kauli za maskini kujifariji bora hao wanakula bata tu ila wasimsahau Mungu tu na kua maskini sio ticket ya kwenda mbinguni
 
Jumbe kama hizo siwezi kuzisoma, najua zina mrengo wa chuki na kujifariji....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom