HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,509
- 1,444
Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa.
Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana changa la macho na hasa ukizingatia cheti xha ndoa ni cha serikali bali kanisa ni wawakilishi tu.
Sasa kwanini ndoa zisifungishwe na kufanyiwa usuluhishi na serikali au wazazi walio na uzoefu na ndoa??
Mchakato wa kuwapata mapadri ni pamoja na wao kuwa marijari wenye nguvu za kiume na ufauru wa juu sana sasa kama walikuwa hawataki waoe kwanini wasichukue mahanithi?
Kwa fikira za utafiti wangu ni wazi kuwa wakoloni walihitaji kutokomeza vizazi vyenye akili kwa kutokuza na kuendeleza koo zao na pia kulinda mapato ya kanisa kwani mapadri wakiwa na familia zao watakuwa na matumizi makubwa sana vilevile kwa masisita
WAAFRIKA TUJITAFARI!!