bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,981
Ina mana mzungu akishasema hivo basi nasisi tuwaige? Huko Ni Bara lingine bana, sio kila kitu tuamini wazungu tuUnatamani kulala juu ya ghorofa? Nchi kama Singapore watu wengi wanatamani japo siku moja tu walale nyumba ya chini, ground floor,Europe wengi wanatamani wangekua na uwezo wa kupata kiwanja ili wajenge nyumba ya chini! Anyway good lucky ila naamini ukisha lala ghorofani utaijua thamani ya kua na Nyumba ya chini,naongea kwa experience niliyoipitia.