F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,300
- 1,039
na kwa taarifa yako siku hizi watu wanapiga kavu tuu iwe ni bar maid ,mchepuko au wale mtu wangu wa ambiance
Ujumbe umefika au siyo?Ukimwi ndo unajua sio HIV
Mkuu umeniacha kidogo.. Hebu fafanua STABILIZER inasaidiaje kuzuia maambukizi ya ukimwi mkuu..?AJARI haina kinga apangalo MWENYEZI binadamu huwezi lipangua
hayo mengine hayawezekani kabisa uende hosptari mchangie sindano ukeketwe we vipi ndugu upo dunia gani hayo mambo ya mwaka 47
harafu wale wajomba wanaweza kuishi vizuri ndani ya "DAMU FRESH " otherwise hawawezi kusurvive hata kwa dakika 5 damu ikigandia katika hiyo mibisu na masindano ama sivyo saloon za kiume wakaka wangekuwa wanakufa kwa Ukimwi kwa hizi saloon za mtaani zisizo na STABLIZER
Usidanganye watu, kutumia ARV hakumaanishi hauwezi kuambukiza watu wengine, ARV inasaidia kufubaza virusi lakini mhathirika akijamiaana na mtu mwingine asiye mgonjwa bila kinga, uwezekano wa kuambukiza virus vya ukimwi uko pale pale.lafu pia maambukizi yamepungua sana maana kuwa unatumia yale madawa ya ARV's huwezi kuambukiza mtu zaidi utakaa na virus wako mwenyewe.
Huu ugonjwa sijui kama ugonjwa maana magonjwa ni yenye dawa. Ni usanii from the start. Hata thabo Mbeki.alisema kuna kitu tumefichwa hapa basi wazungu walitokwa povu kishenzi kumlaani.Hii kitu inaitwa HIV ina kausanii fulani japo sitaki kuthibitishia watu..Maralia inauwa watu kuliko hata huo ukimwi,na mtu akigundulika ana huo ugonjwa kama hatakunywa dawa na akafanya mazoezi na kula chakula cha kumpa nguvu hasa chakula asili atadumu sana sana.lakini ni kama tatizo liko kwenye hizi ARV's mtu akianza tu kunywa hizo ole wake aje aziache kama wiki moja tu atakoma.haiwezekani eti mtu akipimwa tu wakimkuta nao anaambiwa hapo hapo CD4 zimeshuka aanze dawa ilihali hata ukiugua maralia au kikohozi ukipimwa CD4 zitakua zimeshuka..why usiambiwe unywe ARV's? kuna shida kwenye hizo dawa na hakuna shida kwenye hilo gonjwa.hili ni gonjwa biashara la dunia.mbona zamani hawakutuambia kua mtu alietumia ARV's zaidi ya miezi 6 hawezi kuambukiza mtu mwingine?leo hii ndo watu wanajua hilo.maana yake kuna biashara inataka kubadilishwa hapa.silazimishi mawazo yangu yawe ya mwingine ila ninaona harufu ya uongo kwenye huu unaosemwa ni ugonjwa
Mtoto wako ana akili saanana mimi niliwah kumuliza mtoto wangu hili swali jibu lake alilonipa lilitaka kunitoa chozi alinijibu
"baba hizi sio zama zenu za mtu kuish mpaka miaka 70 ilikuwa kawaida,kwasasa maisha mafupi san baba yan iwe kwa ukimwi au bila ukimwi kufika maika 50 ni ndoto so baba inabidi hyo hofu tuiondoe ili tufulah hii miaka miachache tutakayoishi",nlimwambia akiwa na subira yote yanawezekana na hata hyo 50 anaweza akapitiliza dah jibu lake lilikuwa fupi sana ila lenye "father life is too short to wait"
Dawa gani hiyo mkuu?Dawa yake ipo ya asir lakin
wameshashitu kuwa huu ugonjwa ni feki. Kuanzia vipimo ni fekina kwa taarifa yako siku hizi watu wanapiga kavu tuu iwe ni bar maid ,mchepuko au wale mtu wangu wa ambiance
Ila kuna nini sasa?!Ukimwi hakuna acheni kupotoshwa
Tujuze bac na cc huo ukwel tuwe huruwameshashitu kuwa huu ugonjwa ni feki. Kuanzia vipimo ni feki
ARVs feki
H. I. V. feki me hili swala la ukimwi Aliniumizi akili. Ukijua ukweli unakua huru
Nenda kambi ya fisi ukauoneUkimwi hakuna acheni kupotoshwa