Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

Hawa waingereza walisambaza ukoloni karibu robo ratu ya dunia leo wanarusha ngumi kiasi wahamiaji tu tena wanaoenda wakiwa hawana silaha yoyote kubwa hata membe na sindano za kuwajeruhi waingereza sidhani kama huwa nazo.

Madhara ya ukoloni wa British empire sidhani kama hawa watu wanaya fahamu.

Waingereza wamefanya na waendelea kufanya na kuunga mkono uharibu sehemu mbalimbali duniani.

Watulie tu waya malize kwa njia ya amani.
Watu wote duniani wamewahi kutawaliwa au kutawaliana kimabavu, hata Wangoni walioko Tanzania leo hii walikimbia huko Africa Kusini baada ya kushindwa vita na Shaka Zulu, pia unaweza kukuta kabila lako walikuwa na mojawapo ya makabila walioshirikiana na kina Tipu-TIpu na Abushiri kukamata na kuuza watumwa.
 
Kuwe na mabadilishano, Waafrika walio tayari kufuata tamaduni za West na mfumo wa maisha wa huko waende Ulaya na US halafu hao Waarabu wahamiaji waje huku Africa.
Kabla ya kufika huko mataifa ya ulaya yabaki katika nchi zao na siasa zao wabaki nazo wao wenyewe.
 
Dunia imegawanyika katika zama ama vipindi ni muhimu kutambua historia ya mabadiliko ya dunia.

Matendo mengi ya kale sasa hayawezi fanyika kabisa au kwa urahisi huo unaofikiri.
Hakuna kipya chini ya jua. Mambo yaliyofanyika zamani ndiyo yanafanyika sasa hv. Hv kuna mtu aliamini kama kuna nchi duniani inaweza kuvamia nchi nyingine na kujimegea kipande cha ardhi huku dunia ikiangalia tu? Haya ni mambo yalifanyika zamani na sasa yanafanyika tukiona hapo Ukraine na hakuna nchi inafanya chochote zaidi ya kuangalia tu.

Au jinsi Israel inavyoua watu hapo Gaza si kama simulizi za zamani lakini zinatokea sasa na hakuna mtu anajihangaisha zaidi ya maneno ya hapa na pale. Na huko UK ikitokea full civil war itakuwa mchezo mchezo kama Gaza ila watu ndiyo watakuwa wanauliwa
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam na Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Niliandika uzi juzi namna waislamu wanavyoshindwa kuishi na wenyeji sehemu yoyote duniani hata ukiwakaribisha nikatolea mfano waislamu wazanzibari walionunua ardhi morogoro kule matombo kwaajili ya kulima spice wameanza kukorofishana na wenyeji wanaofuga nguruwe miaka dahari kwahiyo uislamu ni janga popote duniani ukitaka kuishi kwaamani jiepushe kukaa na waislamu sikatai wapo wema na waliostaarabika kama kina jakaya ila walio wengi hawafai.
 
Wahamiaji wengi wanazingua, halafu wengi wao ni Waislam hasa Waarabu kutoka Mashariki ya kati, India, Pakistan, Indonesia, Somalia na Bangladesh

Wanataka kuleta tamaduni zao...kuanzia Ibada, mavazi n.k kwenye nchi isiyokuwa yao, tena nchi ya Makafiri wakati wao ni wageni tu

Sijui kwanini wasiende kwenye nchi za Waislam na Waumin wenzao ili waishi watakavyo

kazi kung'ang'ania kwenye nchi za Makafiri zilizojaa ranch za Nguruwe na viwanda vya Pombe kila kona
Swala sio uislam wao, au uarab,
Kila race inapenda ibaki kama inavyotaka, ulaya na america wenyewe wanasema ni nchi za weupe, na inabidi ibaki nyeupe, sasa hawa weusi, Latino, na Arabs wanataka kuharibu demographic,
Kule kwa wa Arab, hawawatski watu weusi kwa sababu wakizaliana Sana, weupe wao utapotea!
Sie huku bongo, hatupendi watu wenye asili ya Burundi, Rwanda,
 
Hawa waingereza walisambaza ukoloni karibu robo ratu ya dunia leo wanarusha ngumi kiasi wahamiaji tu tena wanaoenda wakiwa hawana silaha yoyote kubwa hata membe na sindano za kuwajeruhi waingereza sidhani kama huwa nazo.

Madhara ya ukoloni wa British empire sidhani kama hawa watu wanaya fahamu.

Waingereza wamefanya na waendelea kufanya na kuunga mkono uharibu sehemu mbalimbali duniani.

Watulie tu waya malize kwa njia ya amani.
Mkuu umeongea point xnaa ila cjui c wabongo tuna akili za namna gani ,,yaani baada ya taarifa ety na wao wanawakandia waamiaji .
Na kuwatetea hao wazungu .
Wamesahau haya yanayotokea ni matunda ya wazungu wenyewe walivyopanda kipindi cha ukoloni
 
Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.

Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi

View attachment 3061197View attachment 3061198View attachment 3061199View attachment 3061200View attachment 3061201View attachment 3061201View attachment 3061202View attachment 3061202
Walipokuwa wanaasisi globalization walidhani ni mchezo
 
Mkuu tatizo unachukia uislam ila hao jamaa hao wakoloni hawafai ukristo wako usizani utakupa uraia uingereza hawana dini hao ni wasenge tuh
Hizi sasa ni fikira zako amnazo nazo unabahatidha iwapo mimi ni Christian au Muslim!

Sasa wewe endelea kumntabiria kuhusu imani yangu, lakini ni mhimu ukweli usemwe, mwislamu hasa mwarabu, chaguo la kujilipua na kuuwa wengine, kwake ndilo no moja, mengine ndo yafuate

Kwa jinsi hiyo, huwezi ruhusiwa kukaa kwenye nchi za kistarabu
 
Back
Top Bottom