Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,037
9,927
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,

1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari, je ni kweli? Je kuna ushahidi wowote wa athari uliowakumba waandishi?

Haya maswali tujadili objectively najua mkuu Pascal Mayalla unaweza kutupa neno pia
 
Chuma kiliwataka wawe wazalendo kuliko taaluma yao, mabovu ya Serikali waishi nayo.. Kuyaandika kunachafua jina zuri la Tanzania.

Ile siku anamuapisha Mwakyembe baada ya Nape kuzingua aliwapiga mkwara usiothimilika..
 
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,

1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari, je ni kweli? Je kuna ushahidi wowote wa athari uliowakumba waandishi?

Haya maswali tujadili objectively najua mkuu Pascal Mayalla unaweza kutupa neno pia
Hakuna waandishi wa habari bongo anamuona mtu kavaa kapelo bado anauliza nakuona hapo umetupia kapelo wote wameathiriwa na udaku!
 
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,

1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari, je ni kweli? Je kuna ushahidi wowote wa athari uliowakumba waandishi?

Haya maswali tujadili objectively najua mkuu Pascal Mayalla unaweza kutupa neno pia
Asante sana, kila zama na zama zake. Let the bygones be bygones!, ningeshauri tujadili uhuru wa habari kipindi hiki cha Samia!.
P
 
Back
Top Bottom