Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,915
Kuna siku nilimfuma jamaa alipokua waziri, alikua akikagua mradi, nakumbuka Kumwona dereva wake akibadili plate number toka W kwenda STK, mkuu alikua na mbinu sana kwenye ufuatiliaji!Anazindua mara ngapi akiwa waziri wa ujenzi alizindua mradi huo na mapana ya barabara yakapunguzwa