Uhamiaji fanyeni msako makampuni yote IPP, Azam, Quality, Mahoteli ya Utalii, Migodi na Barabara

Mbona hizi sinema zimekuwa nyingi? Ile ilifikia series na 3 haijaisha ss hizi picha mtupe na muda wa kuzitafakari, nyingine zina mafunzo jamani. Khaaa yaani panda mti kata mti?? Hata ile yakina sijui Delicious sijui kaoge hv bado ipo sokoni ???
 
Wana jamvi

Hayo maeneo yamekua ndio kificho cha raia wa nje hasa raia kutoka India, China na Kenya wasio na vibali vya kufanyia kazi nchini wanafanya kazi ambazo kimsimgi zilitakiwa zifanywe na watanzania, mfano katika mahoteli ya kitalii wapishi ni kutoka India na Kenya, na kulipwa mshahara mkubwa tu huku Watanzania wakiambulia kazi za usafi wa bustani na Ulinzi wa mageti, huku baadhi ya maafisa uhamiaji wakikaa kimya
Kaka huko sehemu unayoongelea dikteta hana tatizo nako tatizo lake ni manji tu au umesahau ule mpunga uliokamatwa Dom wakati wa uteuzi?
 
UHAMIAJI kuna sehemu hawapagusi kamwe,simply huenda kila mwezi kupata mkate wao,:)
 
Uhamiaji wanatembelea kampuni zote aacheni maneno...mimi nimeona kampuni nayofanyia kazi walifika na pakawa hapatoshi sio hapatoshi watu wa nje wote wanasalute picha JPM...
 
Wana jamvi

Hayo maeneo yamekua ndio kificho cha raia wa nje hasa raia kutoka India, China na Kenya wasio na vibali vya kufanyia kazi nchini wanafanya kazi ambazo kimsimgi zilitakiwa zifanywe na watanzania, mfano katika mahoteli ya kitalii wapishi ni kutoka India na Kenya, na kulipwa mshahara mkubwa tu huku Watanzania wakiambulia kazi za usafi wa bustani na Ulinzi wa mageti, huku baadhi ya maafisa uhamiaji wakikaa kimya
Mjomba wetu Mengi aliajiri wahindi wengi Bonite sina uhakika kama hao wahindi ni rais ns kama wana work permit
 
Shida ni Manji tu, hawa wengine hawana shida nao! Manji hakuisapoti ccm kwenye uchaguzi mkuu hata kwenye maafa kagera hakutoa kitu, nasikia jamaa anahasira naye sana
Wasomi tunaongea kwa facts
 
Na hii ndio nilikua nataka safi sana immigration hawa wawekezaji uchwara hasa waasia hawana maana wamehazana kifamilia kwenye companies Watanzania wanaajiriwa kama unskilled labor wakati vijana wetu wamesoma hawana ajira.
Wewe wa ajabu kweli. Kwani kuna sheria inawazuia kujazana kama familia. Kama ni raia halali na ni kampuni ya familia kwa nini wasijazane, si mfumo wao wa kujitengenezea ajia bwana? Wewe umezuiwa kuanzisha kampuni yako binafsi na kuajiri ndugu zako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom