Ni kote mkuu, hata afya na elimu hali ni tete. Watu wamepata matumbo ya kuharisha wiki hii.Kama Mh. RAIS anamaanisha kweli basi ajiandae kuunda upya sekta ya majeshi. Huko ni balaa
Hili zoezi bora lisifanyike. Kitakuwa kiama..OMG rafiki yangu ndo kwanza kakamata ajira ya ualimu baada ya kuhitimu degree yake kwa cheti ambacho hakina jina lake halisi.Ni kote mkuu, hata afya na elimu hali ni tete. Watu wamepata matumbo ya kuharisha wiki hii.
Hao ndo wengiAkimaliza hao aanze na mabosi wenye certificates
Doublestandard zake tunazijua usitudanganye.
Mbona unanitia majaribuni?
Hahahaaaaa! Acha kututisha bana, haondoki mtu hapa. Mwaka huu kalumanzila wanahusikaSafari hii vigogo wameshikwa pabaya maana JPM hana roho kama ya yule mwingine, hata anapoongea unamuona usoni kuwa amemaanisha anachokisema hata kama kina matokeo hasi kwa wananchi. Si mnakumbuka suala la mizani na malori, mnakumbuka jengo la Tanesco ubungo?
Si vyema kuwataja hapa maana mijadala mingi inaendelea hapa JF kwa baadhi yao. Na kinachowaogopesha zaidi Mh. siku hizi ni kama vile anapitia hapa mara kwa mara hata ukisikiliza majibu yake juu ya maneno ya mitandao ya kijamii utagundua kuna mfanano na hoja zilizoko hapa kwa hiyo mtu akitajwa hapa moja kwa moja habari inafika mjengoni.
Tuendelee kuisoma namba kwa pamoja
Labda usubiri tume ya mende mkuu.Kuvua hakuhitaji cheti, changu kiko kabatini... Au na sisi tunakaguliwa