Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,882
- 34,406
Mwatuko wa mfereji wa haja kubwa (Anal Fissure) Imeandikwa Na Dr.Henry Mayala
Ni tatizo ambalo huathiri wote wanaume na wanawake, vilevile watu wa rika yote kwa ujumla. Tatizo hili husababishwa na mpasuko au mchaniko katika eneo la mwisho la mfereji wa haja kubwa.
Nini husababisha mwatuko wa mfereji wa haja kubwa?
-aina yoyote ya ajali katika mfereji wa haja kubwa husababisha mwatuko kama ifuatavyo:
Kupata choo kingi na kigumu kwa muda mrefu
Tatizo sugu la kuharisha
Kuvimba kwa eneo la mfereji wa haja kubwa (inflammation)
-sababu nyinginezo ni kama zifuatazo:
Dalili:
1. Huweza kutibiwa kwa dawa katika hatua za hawali;
Dawa za kulainisha choo
Sitz bath
Cream za kupaka (Anusol, zinc oxide)
Nitroglycerin
Botox
Calcium channel blockers (nifedipine and diltiazem)
2. Kama tatizo hili limekuwa sugu na halitibiki kwa tiba nyingine, basi Upasuaji ndio huwa tiba mwafaka
Partial lateral internal sphicterotomy
Anal dilation
Jinsi ya kuzuia mwatuko wa mfereji wa haja kubwa:
Vyakula vya kulainisha choo- matunda na mbogamboga
Kunywa maji mara kwa mara
Na fanya mazoezi
Source:Mwatuko wa mfereji wa haja kubwa (Anal Fissure)

- Ngono ya njia ya haja kubwa
- Kansa
- Virusi vya ukimwi
- Kaswende
- Kifua kikuu
- Watoto chini ya mwaka mmoja (infants)
- Umri mkubwa- kwasababu kuna upungufu wa ugavi wa damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa
- Kupata choo kigumu kwa muda
- Wanawake wakati wa kujifungua
- Crohns disease
Dalili:
- Maumivu mara baada ya haja kubwa
- Damu kwenye kinyesi na huonekana kwenye karatasi ya chooni (toilet paper)
- Maumivu huweza kuwa makali mpaka kumfanya mtu ajizuie kwenda msalani.
- Kuwashwa
- Sigmoidocopy
- Colonoscopy