Ugonjwa kwenye miti ya matunda (naomba msaada).

Mkuu kabanga heshima kwako, mkuu kama hutojali nami maomba unijuze mamna ya kutengeza hizo dawa kwa kutumia pilipili, nyanya na kitunguu swaum.
Waungwana, nitaandika kile kitakachosaidia, kwa sasa nipo muda mwingi field....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom