MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,371
- 50,734
Siku mbili zijazo tutasiki wakenya mnamwaga matusi kwa Museveni. Wakenya sio wa kuaminika kabisa.
Biashara haina cha huo upuzi mnaita undugu mliodanganywa wa kijamaa, mnafaa muamke na kuelewa dunia ya sasa haina muda na hayo mambo. Kwanza nuna halafu tia mezani kadi zako nitie zangu basi, hamna cha kukenua meno. Sisi huwa hatusubiri kupendwa, tunawekeza kwa vitendo halafu wenye akili watufuate, hutaona tukijikomba komba kama mfanyavyo.