Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,887
- 43,461
umejuaje yaelekea zanzibar?UFO imepita hapa Msasani sasa hivi,saa moja na dakika hamsini usiku,inaelekea baharini,labda inakwenda Zanzibar.
umejuaje yaelekea zanzibar?UFO imepita hapa Msasani sasa hivi,saa moja na dakika hamsini usiku,inaelekea baharini,labda inakwenda Zanzibar.
dunia haipo kimya ila chama chako pendwa cha majipu kimevaa miwani
mbele ya chama anawasahau ndugu zake kabisa..hiyo 50/50 sijui itatoka wapi...Kumbeeeeee FaizaFoxy yupo, nadhani anafurahia ushetani wa chama chake kule Zanzibar
Unidentified Flying Object. Ilikuwa inaruka at a very low altitude,less than 500 metres. Imepita hapa imewasha taa, ilipowasha taa ndipo imeonekana kwamba inapita kuelekea baharini.
No comment uelewa wetu unatofautiana Sana , tatizo linakuja pale mjinga anapojifanya mjanja .We ndo una akili ndogo sasa.....
Inachukua uchizi kumuelewa chizi.
Labda hapo ndo nimeweza kukuelewa.Drone camera kijana! Tulia usiogope...
Mashallah mtoto ushaanza kuzungumza lafudhi ya unguja,ngoja tusubiri tuoneumejuaje yaelekea zanzibar?
Huna lolote wewe! wanaowanyanyasa unawajua na pia upo kundi moja nao! Acha unafiki!Unaonesha juha wa ukweli.
Kwetu Tanganyika.
Zanzibar nnawaonea huruma sana wanavyonyanyasika na dunia ipo kimya.
Muda gani ilikua mkuuHata mm niliona nikadhani ni kimondo mkuu, ila baadaye nilibaini ni yenyewe kwa kuwa spidi ilikuwa ndogo sana tofauti na kimondo na ilikuwa chini sana.
Kati ya saa moja hadi 2.30 usiku mkuu niliona.Muda gani ilikua mkuu
Una zari,inafananaje kwa mfano?ulijuaje kuwa ni UFO?,hukuogopa?Kati ya saa moja hadi 2.30 usiku mkuu niliona.
KwaiyoKati ya saa moja hadi 2.30 usiku mkuu niliona.
Sikuogopa kwa kuwa si Mara yangu kwanza kuiona. Pia najua ipo na ilinunuliwa. Pili nilijua inaenda Zanzibar kwa kuwa kuna joto la uchagizi. Kwa Mara ya kwanza niliona himo Kilimanjaro karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania wakati ule Jk kaingia kwenye mgogoro na Malawi. Nilikuwa mahali nakunywa na askari mmoja tulipo iona akaniambia ni yenyewe inachukua matukio.Una zari,inafananaje kwa mfano?ulijuaje kuwa ni UFO?,hukuogopa?
Maelezo meeengiSikuogopa kwa kuwa si Mara yangu kwanza kuiona. Pia najua ipo na ilinunuliwa. Pili nilijua inaenda Zanzibar kwa kuwa kuna joto la uchagizi. Kwa Mara ya kwanza niliona himo Kilimanjaro karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania wakati ule Jk kaingia kwenye mgogoro na Malawi. Nilikuwa mahali nakunywa na askari mmoja tulipo iona akaniambia ni yenyewe inachukua matukio.