Ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA

mimi nawahakikishia Mizengwe hawezi kitu kaingia kulinda makosa ya BWM hakika wadanganyika wengi wameonyesha kumshabikia huyu lakini ni chaguo la mkapa huyu amekaa IKULU kwa fadhila za huyu BWM anakwenda kuminya siri zote zisitoke bahati nzuri ni udhaifu wa kikwete ndio unatusaidia kupata nyeti zote JK ni weak hasa hawezi kitu hapo.
 
Watanzania wenzangu ,

Nimesoma ile article ya Thisday ya leo na kusema ukweli nimeumia !Ni lini sisi wadanganyika tutakuwa serious na nchi yetu, kwa nini mpaka leo hakuna mtu aliyemhoji Mkapa ? Kwa nini CCM inaendelea kushinda kila chaguzi wakati wanaipeleka nchi yetu kwenye tank...Hivi kweli tutaweza kuendelea kama viongozi wanatumia nafasi zao kwa manufaa yao na hakuna mtu anayewauliza ?

Kwanza kabisa nadhani kuna umuhimu wa kuchunguza uongozi wa PSRC wa zamani .Pili Mkapa ni lazima ajibu maswali jamani ikiwezekana kufunguliwa mashtaka , pia serikali iangalie ni jinsi gani inaweza kunullify mkataba wake na TICTS .Ni jambo la kusikitisha kuona waziri na Rais wakicollude kuhakikisha ya kuwa wanatetea maslahi yao binafsi. Sasa Mkapa alipokuwa anazungumzia free market na competition alikuwa anazungumzia nini ,playing field gani ambayo haiko level?

Ningependa kama tungeiangalia hii PSRC kwa kina zaidi kwani nahisi hiki chombo kilitumika kufanya ufisadi mkubwa.
 
Jamani nimeshindwa kuvumilia , hivi huyu Mkapa alikuwa Rais wa nchi gani ...



Speaking at a function held at the Mtwara Port and also attended by then president Benjamin Mkapa, the THA boss declared:

’’A year before privatization of the container terminal in 1999/2000, profit after tax was close to 10bn/-, but a year after privatization in 2000/01, it went down to 4bn/-. The 2001/02 accounts which have been submitted to auditors point to an all-time low revenue of 0.04bn/-.’’

Nevertheless, in 2005 - when TICTS was just halfway through its contract � it was Mkapa himself who sensationally ordered the extension of the company’s contract by a whopping 15 years.
 
Back
Top Bottom