Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,075
Hao wezi wapo kwenye serikali ya chama gani?Wewe hibvi unaelewa uchunguzi lakini. Biashara zako zote zinawekwa bayana zinajumlisha enyi mafisadi hebu acheni kutetea wezi tena sio mwazi bali mtu aliyemprotect Mwizi kwa dhamana ya cheo chake.