Ufanyike mkakati maalum ili kuzuia Arsenal kuingia Top 4 EPL kuepusha aibu

Hebu msome edo kumwembe hapo!!

80405a69341a0034f91205646193603f.jpg
 
..hii timu (Arsenal) haina viwango vya Champions League , haina tofauti sana na Sunderland , Crystal Palace & the likes , sijui inaingiaje Top 4 ?.

Inaingia kwa kuwa team nyingine ndogo kama Liverpool, Tottenham and Everton zinashangaa mnooo. Liverpool na Tottenham wakikaza msuli kwenye mechi 11 hizi zilizobaki, Arsenal top 4 wataisoma kwa mbali tu. Very soon wataexchange positions na Man Utd.
 
Kwanza niwape pole sana mashabiki wa Arsenal kwa kipigo cha mbwa mwizi aliyekunywa maziwa ya mtoto , binafsi sikustuka bali nilishangaa kwa Bayern kupata mabao machache kinyume cha matarajio .

Sasa ngoja niwape mchongo .

Bila kuizuia Arsenal chini ya Wenger kuingia ndani ya Top 4 , England itaendelea kufedheheshwa miaka nenda rudi , hii timu haina viwango vya Champions League , haina tofauti sana na Sunderland , Crystal Palace & the likes , sijui inaingiaje Top 4 ?

Ili kulinda heshima ya EPL na kulinda pia heshima ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE , ni lazima liundwe zengwe Arsenal isiwemo Top 4 .
Tatizo timu za epl zote ni mafala
 
Inaingia kwa kuwa team nyingine ndogo kama Liverpool, Tottenham and Everton zinashangaa mnooo. Liverpool na Tottenham wakikaza msuli kwenye mechi 11 hizi zilizobaki, Arsenal top 4 wataisoma kwa mbali tu. Very soon wataexchange positions na Man Utd.
Mkuu ushawahi kuwa mpiga ramli ?
 
Inaingia kwa kuwa team nyingine ndogo kama Liverpool, Tottenham and Everton zinashangaa mnooo. Liverpool na Tottenham wakikaza msuli kwenye mechi 11 hizi zilizobaki, Arsenal top 4 wataisoma kwa mbali tu. Very soon wataexchange positions na Man Utd.
Swadakta .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom