Cris jactan
New Member
- Jan 22, 2018
- 3
- 2
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi kufanikiwa Tangu mwanzo.
Ufalme wa Mungu ni mfumo wa Maisha mbali na Maisha ya kidini na Dhehebu. Ni maisha ya kila siku yanayoongozwa na Ufalme mama wa mbinguni Duniani.
Habari njema za Ufalme wa Mungu zimeshaanza kuhubiriwa.