Alex Alexander
New Member
- Dec 14, 2021
- 2
- 0
Je. Katika kuandaa kwake inatakiwa ianikwe kwanza au wanapewa hvyo hivyo tu.. kwangu mimi nataka niitumie zaidi kwa ngombe
Je, ninaweza kuipanda azolla kwenye mabeseni?Thanks for sharing..