Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,847
Magufuli ndo mwenyekiti ajaye wa CCM wa miaka kumi ijayo bila kuchaguliwa na mwanachama yoyote zaidi ya kikwete peke yake,kati ya "wanachama milioni 6" wa ccm.Hakika hiki ndo chama cha manyumbu!