UDSM inaanza kupoteza ushawishi,viongozi wakubwa wa kitaifa serikalini na kwenye chama wamesoma vyuo vingine

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,647
53,755
Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili:

Samia Suluhu Hassan
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM

Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
 
Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili
SSH
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM

Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
Hilo sio la muhimu jambo muhimu ni content wanao toa inaendana na jina lao, zamani ulikua ni ushamba wa watu walio somea mikoani kuja kusomea udsm hata ka kozi isio eleweka kwasasa watu wamesha jua chuo sio jina ni kozi na content.
 
Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili
SSH
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM

Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
Naona unatumia nguvu nyingi kuidogosha. Aliyekutangulia kakutangulia tu kamuhadithie na mwenyekiti wako wa mtaa
 
Truly, sijafika chuo kikuu ila wale wengi walokuwa nyuma yangu wamefika na sijawah kufeli ,kifupi nikuwa nashika nafasi ya kwanza asilimia 95 ya mitihani yote, nilichaguliwa kwenda chuo nikaamua kuacha baada ya kungundua my personal dream haiwezi kutimia ktoka na mazingira ya nchi zetu. sasa huwa nawaangalia hawa wasomi wetu wa vyuoni daah. nakuja gundua ndo mana akina sisiem wanarudsha wazee tu vijana akili ipo social media na hatuna kabisa thinking capacity kubwa, najua sio wote ila wengi hata vyuo vikuu haviwasaidii kbsa.
 
Hawajawahi kusoma hapo lakini pia hawajawahi kuwa nembo ya intellectualism.
Kabudi is far better than them all combined!
 
Back
Top Bottom