Udhaifu wa tume ya Nape dhidi ya Makonda

Nikuulize swali, Je makonda alifanya kosa kwenda kushinikiza clouds warushe ile clip au hakufanya kosa? Tuanzie hapo kwanza.
Umeshaulizwa hapo juu. Una ushahidi gani na hayo madai ya kushinikiza kazi au taatifa alizotaka zitoke kwa nguvu? Kuna ushahidi huo?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Wawe jela na huku mnawatetea
Akina nani wanawatetea?Usipende kuongea kimakundi,mijuzi na kenge ukawaswaga zizi moja!Hivi mtu akitetewa ndio anakua safi?Hebu tuambie Makonda alikuwa ana ushahidi gani wa hao aliowataja?Hakuna,yaani ni show off tu!Baadae anamiliki magari ya aliowataja,huyu Makonda alikuwa na yake kichwani!Ona eti anawatisha watangazaji clouds kuwa atawajumuisha kwenye list iwapo hawatafanya akitakacho,swali ni je,wangapi kawataja kwa chuki binafsi????
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Maswali yangu Kwa Kamati ya Nape:
1. Waziri wa Habari ametumia kifungu cha sheria ipi (ITAJE SHERIA na KIFUNGU) ndani ya Tanzania kuunda kamati ile ya uchunguzi? Je Kamati Ilizingatia Haki za Kikatiba na za Kisheria za walalamikaji (clouds) na mlalamikiwa (RC) katika uchunguzi wake??

2. Mamlaka ya Waziri wa Habari Kusimamia "media" yanamruhusu Waziri Kutoa Hukumu kwa Wanaodhaniwa Kuvunja Sheria? Kumbuka Hata Kabla ya Kamati Kuchunguza na Kutoa Taarifa, Tayari Waziri Alishasema Kwamba Makonda AMEINAJISI tasnia ya habari.

Kutokana na Kauli Hiyo, Je Kamati Ingetenda Haki Kiasii Gani Kwa Makonda Wakati Tayari Amehukumiwa Kabla ya Kusikilizwa????

3. Kamati inasema Makonda alivamia Clouds. Je tafsiri yao ya neno UVAMIZI ni ile inatambuliwa na Sheria ya Kanuni za Adhabu (The Penal Code) au ni tafsiri ya Kimtaani???? Kisheria, hakuna "UVAMIZI" uliofanywa na Makonda Clouds. Makonda alifunguliwa mlango au "kwa namna yoyote" aliruhusiwa au kutambuliwa na walinzi na wakamruhusu kuingia, sasa hapo UVAMIZI WA KIJINAI ukowapi????

Narudia tena, kisheria, ni kwa vipi useme Makonda alivamia clouds???? Tutofautishe "dhana ya uvamizi wa KIJINAI" na kile kilichoendelea mle ndani BAADA YA KUINGIA (Wanasheria Watanielewa).

4. Ni Upi Uhalali wa Kisheria wa Kamati ya Nape Endapo ITABAINIKA Haikuwa na Mamlaka ya Kisheria Kufanya Kazi ya Uchunguzi Uliofanyika???

5. Ni Upi Uhalali na UBORA wa Ushahidi Uliokusanywa (The Probative Value of the Evidence Collected) na Kamati ya Nape ILIHALI Tayari Hata Wanakamati Wenyewe Walikua Wameshamhukumu Makonda Hata Kabla ya Kumsikiliza? Neutrality na Objectivity Ikowapi??? Je Ushahidi Huo Unaweza Kusimama Mahakamani??

6. Nini Maana ya Kamati ya Nape Kwa Afya ya Serikali Yetu Chini ya Rais Dr.Magufuli??? Rais alipokuwa Ubungo Alieleza Kwamba Anafahamu Namna Mkuu wa Mkoa wa Dar anavyosakamwa Mitandaoni etc, na akamuasa MAKONDA Kuendelea Kuchapa Kazi Zake Kwa Bidii.

Nape kama Msaidizi wa Rais Kupitia Wizara ya Habari Kamati yake inatoa tafsiri gani? Je hii sio insubordination kwa Mkuu wa Nchi??

Naomba tutafakari Maswali Hayo Bila Mihemko na Tumtendee Haki Makonda. Tusimsakame Makonda na Kujaribu Kukwamisha Juhudi Zake za Kimaendeleo Katika Mkoa wa Dar
Donald Trump’s tactics are disturbingly similar to those of actual dictators!
 
Kama ulivyo na haki ya kutoa maoni yanayokufaa wewe hata Ngabu nae ana haki,na haya unayoyafanya ndio mnajidai kuyapinga-wacha kila mtu atoe maoni yake hata kama ni mabaya kwenye masikio yako na yajibu kwa hoja za msingi.

Mkuu acha kudandia gari nimemuuliza kwa maana yangu
 
Viwana sheria koko huwa mnanifurahisha sana mmekalili swali moja tu '' UNAUSHAHIDI GANI.............''
kweli elimu ni bora kuliko ujinga , kama walio vamiwa na wenye ofisi wana kiri kuwa walivamiwa kinyume na utaratibu au ujio halali sasa kimwanasheria pori huko vichochoroni maporin huko unakuja na viswali ya kukalili , shit
Mvamiwa kakaa kimya hajaripoti polisi wala kwa nape,kihelehele chenu kufanyia kazi taarifa za jf na Facebook,ndiomaana mmetumbuliwa!
 
Viwana sheria koko huwa mnanifurahisha sana mmekalili swali moja tu '' UNAUSHAHIDI GANI.............''
kweli elimu ni bora kuliko ujinga , kama walio vamiwa na wenye ofisi wana kiri kuwa walivamiwa kinyume na utaratibu au ujio halali sasa kimwanasheria pori huko vichochoroni maporin huko unakuja na viswali ya kukalili , shit
Unajua tafsiri ya uvamizi katika mtazamo wa sheria? Hasa pale kunapokuwa na mazingira ya jinai?
 
maswali hayo unayoiuliza tume ni ya kutaka kujinasua ww na akili yako mara ngapi serikali na viongozi wake wanakiuka sheria za nchi katika kutekeleza majukumu yake,mfano huyo boss wako kwenda kukamata washukiwa mamlaka hayo kayatoa wapi afadhali hata angedanganyia angefuatana hata na RPC au OCD ingeleta maana ,hivyo hiyo tume ilikuwa mubashara imetimiza viwango!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ndio tatizo la viongozi vijana..wanapewa mamlaka wanaanza kuwagonga wasanii na waandishi..kweli penzi kitovu cha uzembe
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Maswali yangu Kwa Kamati ya Nape:
1. Waziri wa Habari ametumia kifungu cha sheria ipi (ITAJE SHERIA na KIFUNGU) ndani ya Tanzania kuunda kamati ile ya uchunguzi? Je Kamati Ilizingatia Haki za Kikatiba na za Kisheria za walalamikaji (clouds) na mlalamikiwa (RC) katika uchunguzi wake??

2. Mamlaka ya Waziri wa Habari Kusimamia "media" yanamruhusu Waziri Kutoa Hukumu kwa Wanaodhaniwa Kuvunja Sheria? Kumbuka Hata Kabla ya Kamati Kuchunguza na Kutoa Taarifa, Tayari Waziri Alishasema Kwamba Makonda AMEINAJISI tasnia ya habari.

Kutokana na Kauli Hiyo, Je Kamati Ingetenda Haki Kiasii Gani Kwa Makonda Wakati Tayari Amehukumiwa Kabla ya Kusikilizwa????

3. Kamati inasema Makonda alivamia Clouds. Je tafsiri yao ya neno UVAMIZI ni ile inatambuliwa na Sheria ya Kanuni za Adhabu (The Penal Code) au ni tafsiri ya Kimtaani???? Kisheria, hakuna "UVAMIZI" uliofanywa na Makonda Clouds. Makonda alifunguliwa mlango au "kwa namna yoyote" aliruhusiwa au kutambuliwa na walinzi na wakamruhusu kuingia, sasa hapo UVAMIZI WA KIJINAI ukowapi????

Narudia tena, kisheria, ni kwa vipi useme Makonda alivamia clouds???? Tutofautishe "dhana ya uvamizi wa KIJINAI" na kile kilichoendelea mle ndani BAADA YA KUINGIA (Wanasheria Watanielewa).

4. Ni Upi Uhalali wa Kisheria wa Kamati ya Nape Endapo ITABAINIKA Haikuwa na Mamlaka ya Kisheria Kufanya Kazi ya Uchunguzi Uliofanyika???

5. Ni Upi Uhalali na UBORA wa Ushahidi Uliokusanywa (The Probative Value of the Evidence Collected) na Kamati ya Nape ILIHALI Tayari Hata Wanakamati Wenyewe Walikua Wameshamhukumu Makonda Hata Kabla ya Kumsikiliza? Neutrality na Objectivity Ikowapi??? Je Ushahidi Huo Unaweza Kusimama Mahakamani??

6. Nini Maana ya Kamati ya Nape Kwa Afya ya Serikali Yetu Chini ya Rais Dr.Magufuli??? Rais alipokuwa Ubungo Alieleza Kwamba Anafahamu Namna Mkuu wa Mkoa wa Dar anavyosakamwa Mitandaoni etc, na akamuasa MAKONDA Kuendelea Kuchapa Kazi Zake Kwa Bidii.

Nape kama Msaidizi wa Rais Kupitia Wizara ya Habari Kamati yake inatoa tafsiri gani? Je hii sio insubordination kwa Mkuu wa Nchi??

Naomba tutafakari Maswali Hayo Bila Mihemko na Tumtendee Haki Makonda. Tusimsakame Makonda na Kujaribu Kukwamisha Juhudi Zake za Kimaendeleo Katika Mkoa wa Dar
Vipi maamuzi yaliotekana na tume ya bunge ilioongozwa na mwakyembe kuhusu Richmond? Hapakua Natural Justice, lakini ikasomwa kwa mbwembwe sana. Hatimae tuliona uwajibikaji wa waziri mkuu.
Leo hatua au kitendo alichokifanya Makonda nilibaya kama mkuu wa mkoa. Leo tuna jaribu kupakapaka mafuta nakuingiza sheria hapa na pale ambayo haina mashiko. Just imagine watu wajekwako na abundiki ghafla, ni nini hicho kitendo kama sio uvamizi.
Tume ya Nape ilimfwata ili wakapate his side of the story, alikimbia. Implying what? Yote muhalifu, atakimbia tu. Na huyu bwana kajawa na dharau na kiburi, ndo maana anatumia madaraka yake vibaya and thats given. Tumekua na wakuu wamikoa wangapi hapa Dar? Hata mmoja hajawahi vamia kituo cha habari na kulazimisha vitu kama alivyo fanya Makonda. You should be objective my Friend. Lets call a spade a spade. Najua wanasheria kutetea na kazi yao, hata kama mtu kaua live, anaweza akashinda kesi.
 
kama kweli clouds wanafaata maadili ya uandishi wa habari, makonda alijuaje kwamba wana video clip ile mpaka aende kuwashinikiza wairushe???

maana nikiona yule ni soud brown anamhoji yule mama.

tuanzie hapo kwanza.
Unataka kuhalalisha kile kilichofanywa na Bashite, siyo?
 
Anashindwa kumuwajibisha Mkosaji mnamuwajibisha aliyefanya kazi.yake.kwa.kuzingatia weledi na anachokiamini.

Makonda na Mtukufu wote wabatokea kanda ya Ziwa siyo rahisi kwa wa Ku nyumba kuguswa.Poleni
 
Ni watuhumiwa gani wa Madawa wamepelekwa mahakamani? Na Kwanini RC ana magari ya watuhumiwa nyumbani kwake?.
Maswali yanayomuhusu Daudi ni mengi na majibu hakuna mpaka leo, ila wanakuja na maswali kwa Nape...Wabongo vichwa empty sana.
 
Anashindwa kumuwajibisha Mkosaji mnamuwajibisha aliyefanya kazi.yake.kwa.kuzingatia weledi na anachokiamini.

Makonda na Mtukufu wote wabatokea kanda ya Ziwa siyo rahisi kwa wa Ku nyumba kuguswa.Poleni
Amewajibika kwa lipi? Kutetea wauza madawa
 
Back
Top Bottom