housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,192
Haha kweli watuonyeshe. Manake ni wa kuhesabu na vidole vya mkono and they all taken.hahahaaa, kama kuna mtu anadanga bongo na yuko vizuri nionyeshe...vuka boda mwaya first ni adventure maana unaweza ukafa hujakanyaga sehem ukizubaa na wabongo,pili if you are good ukienda ukirudi unarudi na kingine lolest....ngoja nijiandae na my next vacation mie...
Wabongo wenyewe ndo hawa wanaosema eti ukipata tu gari umemaliza kila kitu. . Wanawake wa kibongo nao wanatia huruma sana . Ndo hivyo lakini WE ARE NOT EQUAL.