Uchambuzi Yakinifu wa Kitakwimu Sakata la Rwanda na Uganda kujitoa bandari ya Dar es Salaam!

kaka do you need evidence to explain that you have to cross kenya and uganda before you reach rwanda???

au kupima umbali....anyway, chukua kamba nyoosha kwenye ramani kupata urefu, halafu zidisha kwenye kipimo..ratio iliyowekwa pale utapata umbali...

Wewe hapo umeona kilomita tu?

Vipi kuhusu hiyo percent?

Vipi kuhusu hizo tani katika bandari husika?

Vipi kuhusu kuongezea au kupungua kutoka miaka iliyopita?

Mimi sikatai inaweza kua data ni za kweli...Ila mwandishi has to acknowledge the source of this data...hizi watu hawakurupuki tu toka usingizini unakuja kulisha public sumu......
 
Rais akiwa dhaifu nchi nzima tunaonekana wadhaifu.

Nipeni sababu za msingi za kuomba usuluhishi na dikteta Kagame.?

Nimesikitika sana kumsikia Punda eti anamuomba Mu7 asuruhisho mgogoro, huu ni upuuzi mtupu.
 
Sasa kwa hapo unataka source ya nini. Umbali toka sehemu moja mpaka nyingine kwa eneo lolote duniani,ingia google utauona. Data za mizigo inayopitia bandari za tz ingia wizara ya uchukuzi utazipata. Idadi ya mizani barabara zote tz ingia wizara ya ujenzi itaona ,na vizuizi vya uusalama barabarani kwa barabara za tz ingia wizara ya mambo ya ndani watakuambia. Tatizo la wengi wetu ni wavivu kutafuta data na tunataka kutafuniwa kila kitu. Wakati nipo chuo watu wengi walikuwa wakipewa swali kama assignment na wakati lecturer kawaambia wakasome vitabu,wenyewe walikuwa wanakimbilia wikipedia!. Tabia hii ipo hata kwa watoto wetu na wadogo zetu ndio maana Mama Ndalichako anapata taabu.Tubadilike na tuwe tunajisumbua kidogo kutafuta maarifa.
.
well said mkuu,na hapa huyu mama anaangushwa na wanasiasa VIHIYO
 
Nimesikitika sana kumsikia Punda eti anamuomba Mu7 asuruhisho mgogoro, huu ni upuuzi mtupu.

mimi huwa simuelewi kikwete wala washauri wake kikwete,,,halafu kwenye hatuba za mwezi atakuja kutukenulia kutupa feedback,museven ameonekana kwenye uzinduz wa bandar ya mombasa,museven amekaa vikao viwili na hawa jamaa,museven amesainiana mikataba na hawa jamaa,museven si mwenzake,,,,,
wakenya wana hasira za ujio wa Obama,na pia wameona weakness za bandar ya Tanzania,kikwete alipswa kuijengea uwezo bandari ya DSM kabla ya kuanza kuijenga ya BAGAMOYO
 
Hili limenilazimu kutoka pangoni.

..... Historia inaonesha mataifa na mwanadam kwa ujumla huwa mbunifu na pia uendelea kwa kasi pale mazingira yanapompa

changamoto nzito. Tushukuru mungu tumepata fursa ya pekee kujua jirani yako anamtazamo gani na wewe. Jambo hili huwa

ni adimu sana, matokeo yake hujikuta umezungukwa na watu wengi maishani lakin wachache ni wakweli.


..... Kijiografia Tanzania haina sababu yoyote ya kutishwa na maamuzi haya. Kwa ufupi dunia

ya leo commerce ndio inayotawala na kuendesha siasa. Trade volume kati ya Tanzania na nchi

hizi inaonesha kuwa athari za maamuzi aya ni ndogo sana kwa taifa letu. Inanishangaza kidogo

kuhusu Kenya maana hawa ni mojawapo ya wawekezeji wakubwa Tanzania kwa vyovyote vile nchi yetu

ikiamua kujibu mapigo wataumia sana na hili.


..... Kuna hili la chakula, asilimia kubwa ya chakula na nafaka katika ukanda huu inazalishwa na Tanzania

na hizi nchi huja hapa kununua. Nilifika Mufindi miaka ya nyuma na kukuta hawa majirani wakinunu kwa

wingi mbao na chai yetu. Nilirudi mwaka mwingine nikakuta biashara hii imeongezeka.

Nilipokuwa Arusha niligundua kuna bishara kubwa pale Namanga ya mboga mboga kutoka nchini kuelekea

kule ngambo ya mpaka.


..... Nishati, kwa ufupi hapa ndio pana utamu kweli! Katika hili tutazame The China scenario, leo hii

asilimia kubwa ya viwanda Ulaya na Marekani viwanda vinafungwa na kuamia China au kununua hizo

bidhaa china, sababu kuu ikiwa ni urahisi na unafuu wa bidhaa hizo. Kwa ufupi ukizalisha bidhaa

yenye ubora kwa bei nafuu, haijalishi upo wapi wanunuzi watakuja, nchi zote za kusini mwa bara la

Africa zinamahitaji makubwa ya nishati, na haya yanazidi uwezo wa vyanzo vyao na pili hawana njia

mbadala.

ENERGY & FOOD are the biggest global concerns right now. The world's eyes are all on us, recent visits

by key figures is sufficient testimony. Tanzanians, you have the largest gas and hydrocarbon deposits

along with the largest unutilised agricultural land on the planet.

You only need good accountable & responsible leadership, not a federation or quarrels.


Tanzania hiii ni FURSA KUBWA......

Tanzania sitetereke........

Tanzania wewe ni mzazi wa wote hawa ..... mwana hawezi mtisha mzazi.
 
Bring back the firmness, strategic thinking and vision exhibited by the first phase Government.
 
Takwimu zasema kwa sauti kuliko Siasa!

3. 1% ya mizigo ya Uganda (tani milioni 4) hupita bandari ya Dar es Salaam sasa hivi ikilinganishwa na 5% ya mizigo ya Uganda iliyokuwa ikipita bandari ya Dar mwaka 2004;

4. Umbali kati ya Mombasa- Kigali ni 1700kms, na mzigo unapita kwenye mipaka miwili . Umbali wa Dar-Kigali ni 1300kms na mzigo hupita kwenye mpaka mmoja tu. Tofauti ya umbali kati ya Mombasa- Kigali na Dar-Kigali ni 400kms ambazo ni sawa na umbali wa kutoka Dar-Mtwara.

shukrani kwa balozi.


Uchambuzi mzuri ila umekosema umbali toka Mombasa - Kigali via Uganda ni 1695 KM na DSM - Kigali ni 1441KM hivyo tofauti ni 254KM. Mwisho umbali kati ya Dar na Mtwara ni 559 KM

Nawakilisha
 
Watanzania wenyewe tunatumia bandari ya mombasa!Umesahau boti za magufuli zilipitia mombasa!Dar port,TRA ukiritimba umezidi
 
Mkuu Revocatus Kashaga,

Uchambuzi wako huu umejikita zaidi katika masuala ya kiuchumi tofauti na ushabiki wa kisiasa, ni uchambuzi murua na wa ujenzi. Bandari ya Dar es Salaam bado ni muhimu sana kiuchumi kwa wafanyabiashara wa Rwanda/Kenya/Uganda/Malawi/Congo/Zambia.

Kenya pamoja kuwa na bandari ya Mombasa lakini wawekezaji wake ni wafanyabiashara hapa Tanzania katika orodha ya wawekezaji ni wa pili wakiwa nyuma ya Uingereza, bado wataendelea kuitumia bandari ya Dar es Salaam katika biashara zao, hawezi kushushia mizigo yao bandari ya Mombasa kisha waisafirishe mpaka Tanzania ili wamfurahishe Kagame na Uhuru.

Wafanyabiashara wa Rwanda hawawezi kupata hasara kupitishia mizigo yao Kenya ili wawafurahishe viongozi wao wa kisiasa. hebu agalia hii ramani hapa chini halafu uitafute Kenya na Rwanda pamoja na Burundi.
RwandaMap.jpg

Siasa siku zote zikitumikia uchumi lazima uchumi uyumbe.
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi kama ulishawahi kufika Mtwara Ndugu, eti kilometer mia sita na plus! labda sio Mtwara ninayoijua mimi,kukusaidia uelewa nenda hii link utaona umbali kati ya Dar na Mtwara Distance Between Mtwara and Dar es Salaam

Mkuu tusibishane bure, hiyo reference yako ni direct ine kama unaruka kwa ndege njia ya barabara in kona hapa na pale hivyo umbali kuongezeka ingawa haifiki km. 600.
 
Nini source ya hizi data zako? are you sure ziko up to date? Tupe source then we can proceed from there....Huwezi kuweka takwimu hivi bila source.....

Ila hizo za kilometre tunaweza kuzifanyia kazi pamoja na wewe, hizo zingine ndio atuletee chanzo, btw kama ni kweli analysis imetulia maana wakati mwingine maamuzi ya kisiasa huwa yanagharimu sana hata kwa baadhi ya mambo yanayoendelea nchini
 

nasikia huyu samaki anayeitwa pweza ana hasira sana, akiona ndoana huishika akidhani anapambana nayo kumbe ndo anajirahishia kukamatwa kwake. Kagame kama walivyosema wengi shule alikuwa kilaza nimeamini bila kutia shaka. Kama wanyarwanda wanasoma hapa jf wampe hii logistic report aisome atafakari na achukue hatua. Sisi ni kaka zake hata kama dogo kakataa ushauri asiende kulia kwa baba wa kufikia.

anafikiri anamkomoa kikwete.
 
Mkuu tusibishane bure, hiyo reference yako ni direct ine kama unaruka kwa ndege njia ya barabara in kona hapa na pale hivyo umbali kuongezeka ingawa haifiki km. 600.

Umemaliza mkuu unajua kama barabara ni vumbi unawezaona kama ni kilometre nyingi, Mtwara to Dar ni kama 600 km na ushee na njia mojawapo ya kupima ni magari mengi hutumia nusu siku (nusu mchana) kutemebea umbali wa kilometre hizo assuming barabara kama ni ya lami
 
umedanganya dar-mtwara unayolinganisha kuwa ni sawa na darkigali hizo 400km si kweli
 
Back
Top Bottom