xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,378
interesting
ila apo katkat kulkua na uzembe wa hali ya juu kwe intelgence yetu ambao ulkua wazi kabisa
wahusika waljisaau pia nguvu ilielekezwa sehem nyingine
pia naeza kusema hapakua na coordination nzuri kwa wahusika
kwa kuunganisha matukio wangeweza kujua mwelekeo
all n all serkali iwekeze kwe usalama kwa maana ya mafunzo
off course watu wengi hawajui ugaidi ni nini
msisahau dunia inabadlika ndugu major crimes/ criminal wako very smart now days
try me