Uchambuzi: Je, kwa punguzo hili la PAYE, nitanufaika kiasi gani?

Huyo ambaye unasema umemnukuu inaelekea wala hajui namna PAYE inavyokokotolewa (with due respect kwa G Malisa!). Angetafuta wataalamu wamuelekeze tu. Na hata kodi ya VAT pia hujaelewa inavyofanya kazi. Tembelea hata website ya TRA ujifunze.
 
Mkuu kwa watu wanaojua kodi, umeongea vitu ambavyo haviwezekani kabisa. Kwanza sio kweli kwamba wafanyabiashara wanalipa VAT pekeake, wanalipa na kodi ya mapato kulingana na classification na turnover zao na either wanaandaa mahesabu au vip. VAT ni indirect tax ambayo imo kwenye gharama ya bidhaa, PAYE ni direct tax ambayo unalipa kwa kile unachoingiza kwa hiyo ukiingiza zaid utalipa zaidi, kama ilivyo VAT ukinunua zaidi utalipa zaidi kwa hiyo usiangalie hiyo rate, ww gomba na income yako.
Ni lazima ujue kuwa PAYE ndio kodi inaiingizia nchi hela nyingi sana, so hata hiyo asilimia 2 rais aliyopunguza ni lazima watafute pa kufidia so usishangae ukasikia wameongeza kodi kwenye leseni za magari.
 
Jamani kodi inayokatwa kwenye mshahara haiwezi kuitwa VAT.Kimsingi VAT ni Value Added Tax na PAYE ni Pay As You Earn, kwa maana kwamba as your pay increases, so does your PAYE.On the other hand VAT is paid for services and goods.So VAT will remain as VAT for goods and services and PAYE for salaries.
Huyo ambaye unasema umemnukuu inaelekea wala hajui namna PAYE inavyokokotolewa (with due respect kwa G Malisa!). Angetafuta wataalamu wamuelekeze tu. Na hata kodi ya VAT pia hujaelewa inavyofanya kazi. Tembelea hata website ya TRA ujifunze.
Huyo ambaye unasema umemnukuu inaelekea wala hajui namna PAYE inavyokokotolewa (with due respect kwa G Malisa!). Angetafuta wataalamu wamuelekeze tu. Na hata kodi ya VAT pia hujaelewa inavyofanya kazi. Tembelea hata website ya TRA ujifunze.
 
Hili suala na PAYEE kusema kweli ni kizungumkuti na linahitaji utafiti wa kina.

Sio mtaalamu wa masuala hayo. Lakini kwa kuanzia mimi ningependekeza kama yupo GT mwenye utaalamu wa PAYEE, basi utufanyie utafiti mdogo.

Atufanyie utafiti nchi jirani zetu za EAC wanatumia mfumo gani kukata kodi za mishahara ya watumishi. Kama wanatumia mfumo huu wa PAYEE Je, wanatumia rate zipi kutoza hizo PAYEE.

Nakifikiri tukipata comperative examples tunaweza kujua kama serikali ya Tanzania inatunyonya au imetupatia unafuu wa kodi katika mishahara yetu.

Tukipata hizo competstive examples tunaweza sasa to argue like GT.
 
Back
Top Bottom