Uchaguzi wa Papa: Tanzania ina kura 2 au 1? Umri wa mpiga kura mwisho miaka 80, Africa ina makardinali 17

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
98,222
172,445
Tanzania tuna makardinali wawili muadhama Polycap Kardinali Pengo na Muadhama Protace Kardinali Rugambwa

Je, Kardinali Pengo altapiga kura?

Papa ni lazima apate 2/3 ya kura ili atangazwe mshindi kwahiyo kura 1 ina nguvu sana

Ahsanteni 😁
 
Wafia dini za wageni mnataka sana papa awe Mwafrika mweusi….🤣.
Hata akiwa mwafrika haitaondoa ukoloni. Lengo langu ilikuwa kuonyesha ubaguzi wa hizi dini nyemelezi za kigeni. Na kweli, nimeona watu wanavyochangia kwa nguvu sana wakitetea hii jinai ya kujitakia.
 
IMG-20250421-WA0163.jpg
 
Hata akiwa mwafrika haitaondoa ukoloni. Lengo langu ilikuwa kuonyesha ubaguzi wa hizi dini nyemelezi za kigeni. Na kweli, nimeona watu wanavyochangia kwa nguvu sana wakitetea hii jinai ya kujitakia.
Mimi sioni kama ni ubaguzi!

Hiyo ni imani yao waliyoileta Afrika.

Kama wanataka baadhi ya mambo yabaki kama yalivyo, sawa tu.

Wafanye watakavyo. Hiyo imani yao haina maana yoyote kwangu.
 
Yes, there have been three popes believed to be of African origin, all from the early centuries of the Church. They are:

1. Pope Victor I (189–199 AD) – The first known African pope, likely born in the Roman province of Africa (modern-day Libya/Tunisia). He is known for establishing Latin as the official language of the Church (replacing Greek) and setting the date for Easter.

2. Pope Miltiades (311–314 AD) – Also known as Melchiades, he was likely of North African descent. His papacy saw the end of the persecution of Christians under Emperor Constantine and the beginning of the Church's official recognition.

3. Pope Gelasius I (492–496 AD) – Possibly the third African pope, born in Rome to African parents. He was a strong theological writer and fought against pagan festivals.

### Were They Black?
While these popes were from Roman Africa (North Africa), their exact ethnicity is debated. The term "African" in Roman times referred to the region, not necessarily race. They may have been of Berber, Punic, or mixed Roman-African heritage, but they were not Sub-Saharan African.

To date, there has been no pope of Black African (Sub-Saharan) origin, though many prominent African saints and theologians (like St. Augustine) were from North Africa.
 
Hata akiwa mwafrika haitaondoa ukoloni. Lengo langu ilikuwa kuonyesha ubaguzi wa hizi dini nyemelezi za kigeni. Na kweli, nimeona watu wanavyochangia kwa nguvu sana wakitetea hii jinai ya kujitakia.
NImeona kuna jamaa anauliza kama ifuatavyo.

Hivi ccm kwa uzoefu wao wa kupata ushindi wa kishindo, hawawezi kuwasaidia wale Makadinari wa Afrika ili mmoja wao aweze kupata kura nyingi za kumfanya awe papa wa kwanza mwafrika ?
 
Back
Top Bottom