Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,560
Heshima kwenu WANA JF.
Uchaguzi wa meya wa jiji la dar es salaam umepangwa kufanyika 22.03.2016 siku ya jumanne (siku ya kazi )katika ukumbi wa Karimjee kuanzia saa 4.00 asubuhi.
Katika barua za mwaliko wabunge, madiwani na viongozi wa chama.,Kaimu Mkurugenzi wa jiji la dar amepiga marufuku watu wasiokuwa na mwaliko kufika ukumbini Karimjee kushuhudia hilo zoezi la uchaguzi.
MY TAKE :
Hapa ndipo wanachama wote wa UKAWA tunatakiwa kuonyesha nguvu yetu kwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya Karimjee siku ya uchaguzi wa meya wa jiji kudhibiti uchakachuaji unaotaka kufanywa na CCM wakishirikiana na serikali yao kutumia nguvu ya vyombo vya dola.
Kwa sababu CCM hawajui hata kuhesabu namba huenda wana ndoto za kushinda umeya wa jiji la dar es salaam.
Update
Tarehe iliyokuwa inasubiriwa sasa imefika ni leo ambapo historia mpya inaandikwa kwenye zoezi la kumchagua meya la jiji la dar es salaam baada ya sarakasi zote kuisha leo uchaguzi utafanyika.
Tayari viongozi wa UKAWA wameshaanza kuwasili ukumbini kwa ajili kushiriki kwenye hilo tukio la kihistoria.
Raisi wa mioyo ya watanzania ameshawasili ukumbini