Uchaguzi wa Mameya Kinondoni na Temeke kurudiwa

Asante sana kwa analysis hii.Kwa vyovyote vile ushindi wa CDM Utakua palepale.!
 
kabla ya kuanzishwa manispaa ya ilemela madiwani wote toka nyamagana na ilemela ambazo ni wilaya walikuwa wanakaa katika baraza la jiji chini ya meya wa jiji. ni hii imekuwepo kwa miaka mingi sana. yaani jiji la mwanza lilikiwa wilaya mbili huku baraza la midiwani likiwa moja la mwanza city council.
 
je hiyo kibamba na kigamboni nazo zitakuwa manispaa?
 
je hiyo kibamba na kigamboni nazo zitakuwa manispaa?
Mkuu Sexer ,
Wilaya mpya ni Kigamboni na Ubungo,hakuna wilaya ya Kibamba,ila Kibamba ni Jimbo ,ambalo liko chini ya CDM/UKAWA na Mbunge ni John John Mnyika.Taratibu ni kwamba wilaya zote zinazounda Jiji huwa ni Manispaa.!
 
sio kweli wilaya zinazounda jiji lazima ziwe manispaa , mwanza ni jiji toka mwaka 2000 ikiwa na wilaya ya nyamagana na ilemela. ilemela imekuwa manispaa mwaka 2013 sio kwa sababu iko ndan ya jiji bali ilitimiza vigezo vya kuwa manispaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…