Uchaguzi wa Mameya Kinondoni na Temeke kurudiwa

Mkuu wilaya ya Kinondoni ilikuwa na majimbo manne (4) kama ifuatavyo:
Kawe - kata 10
Kinondoni - kata 10
Ubungo - kata 8
Kibamba - kata 6.
Sasa wilaya mpya ya Kinondoni itabakia na majimbo ya Kawe na Kinondoni na wilaya mpya ya Ubungo itakuwa na majimbo ya Ubungo na Kibamba.
Wilaya ya Ilala haijaguswa kwani inabakia na majimbo yake matatu (3) ya Ukonga, Ilala na Segerea, ambako CDM ina madiwani wa kuchaguliwa 22 na mbunge 1 na CCM ina madiwani 14 na wabunge 2.
Wilaya ya Temeke ilikuwa na maajimbo matatu (3) ya Mbagala, Kigamboni na Temeke ambako CDM ina madiwani wa kuchaguliwa 12 na mbunge 1 while CCM inao 20 na wabunge 2.
Asante sana kwa analysis hii.Kwa vyovyote vile ushindi wa CDM Utakua palepale.!
 
kabla ya kuanzishwa manispaa ya ilemela madiwani wote toka nyamagana na ilemela ambazo ni wilaya walikuwa wanakaa katika baraza la jiji chini ya meya wa jiji. ni hii imekuwepo kwa miaka mingi sana. yaani jiji la mwanza lilikiwa wilaya mbili huku baraza la midiwani likiwa moja la mwanza city council.
 
je hiyo kibamba na kigamboni nazo zitakuwa manispaa?
Mkuu Sexer ,
Wilaya mpya ni Kigamboni na Ubungo,hakuna wilaya ya Kibamba,ila Kibamba ni Jimbo ,ambalo liko chini ya CDM/UKAWA na Mbunge ni John John Mnyika.Taratibu ni kwamba wilaya zote zinazounda Jiji huwa ni Manispaa.!
 
Mkuu Sexer ,
Wilaya mpya ni Kigamboni na Ubungo,hakuna wilaya ya Kibamba,ila Kibamba ni Jimbo ,ambalo liko chini ya CDM/UKAWA na Mbunge ni John John Mnyika.Taratibu ni kwamba wilaya zote zinazounda Jiji huwa ni Manispaa.!
sio kweli wilaya zinazounda jiji lazima ziwe manispaa , mwanza ni jiji toka mwaka 2000 ikiwa na wilaya ya nyamagana na ilemela. ilemela imekuwa manispaa mwaka 2013 sio kwa sababu iko ndan ya jiji bali ilitimiza vigezo vya kuwa manispaa
 
Back
Top Bottom