Uchaguzi USA: Mshindi atakuwa Donald Trump (Ubashiri)

We're ni kiazi
Moderator hii habari inatakiwa kuwa Jukwaa la kimataifa.Mbona mnatuletea uswazi uswahilini kwetu? kwani kwao marekani hawana jukwaa lao?.
Hii habari mpelekee huyo Trump haituhusu
wewe ni kiazi kweli kwlei hujui influence iliyonayo marekani kwa dunia mzima?!!!! Au hauelewi mwezi upo mbali na dunia lakini una influence bahari na majira?Rudi shule
 
Kwanza uyu jamaa ni mbaguzi hafai kuwa raisi wa taifa kubwa na lenye mchanganyiko wa rangi kama USA
 
huyu jamaa Mungu Amsaidie apite.....hawa viongoz wetu wanafuja pesa makusudi kwa kibur cha wahisani wapigwe top hata kuigusa tuu ikulu ya marekani
 
Kwanza uyu jamaa ni mbaguzi hafai kuwa raisi wa taifa kubwa na lenye mchanganyiko wa rangi kama USA
Najua pia utakuwa unakubali ile sera yake ya kibaguzi kuwa Waafrika hawapaswi kuishi Marekani na pia waislamu..
If we knew all the people attending his rallies were there for a show or entertainment,it would be one thing,but the fact that he is among the frontrunners of Republicans is the truly scary part.......
Sioni tofauti baina ya huyu mtu na CCM! Yeye anachukia watu weusi katika nchi ya watu weupe, CCM inachukia machotara katika nchi ya watu weusi. CCM inachukia na kuwatesa waislamu wasio na hatia kwa kutangaza neno la Mungu. Ni bora wakakataza uislamu kuwa practiced kama vile Angola.
Bwana Trump rafiki yangu wa muda mrefu nikiwa naishi TEXAS nasubiri kwa hamu achukue urais nirudi Washington DC kula bata , kila lakheri donard
LABDA awe Rais wa maji maji ya songea au Lipuli ya iringa
We're ni kiazi
wewe ni kiazi kweli kwlei hujui influence iliyonayo marekani kwa dunia mzima?!!!! Au hauelewi mwezi upo mbali na dunia lakini una influence bahari na majira?Rudi shule
Nashangaa sana watu wa Africa kung'ania kujipendekeza kwenye Nchi za Wazungu wakati nchi zetu zina kila kitu ila zimekosa viongozi
 
Nashangaa sana watu wa Africa kung'ania kujipendekeza kwenye Nchi za Wazungu wakati nchi zetu zina kila kitu ila zimekosa viongozi
Nakubaliana na wewe 100%. Huyu jamaa anasema yale ambayo yamo katika mioyo ya 99% ya watu weupe. Wanaogopa kuyasema kwa kile kinachoitwa political correctness. Lakini ukweli ni kuwa Trump ana represent a large chunk ya watu weupe. Mimi personally naomba huyu jamaa apite ili tuone hii dunia itaji shape vipi? Inawezekana pia anayasema haya kuvutia kura tu lakini anajuwa in reality hawezi kutekeleza anayosema. Na ikiwa ataweza basi dunia mpya itazaliwa. I cant wait to witness that. USA bila ya Arab cuonterparts. Watu weusi waambiwe warudi kwao Africa! Viongozi Waafrika waione white house kama wanavyoliona jua angani lakini hawalikaribii. What a world to be living in!
 
Jamani hata Shein ni mbaguzi Sema tu yeye anawatumia vijana wa Lumumba ya Zanzibar kumsemea na Trump yeye anatamka pekee
 
Umeandika kitu cha Kipumbavu kabisa. waislamu wapi wanakatazwa kuhubiri dini yao? nch hii watu wanaruhusiwa kuabudu any dini na tumeona hata suala la kuchinja wameachiwa waislamu. wakiaka hata suala la kupika wapewe tu. Kwa style hii sasa naona ni bora CCM iendelee tu. donald trump ana misimamo anayoiamini na anaisimamia hawez unafiki na hilo ndilo linalomfanya aonekane ni mtu wa kufaa. akisema waafrika ni wapumbavu ni kweli kuna ukweli ambao tunaweza kuuona. asilimia kubwa ya nchi zinazopigana kuuana ni za kiarabu na kiafrika. nyie ndugu mna uana mna akili kweli? lazima mtakuwa wapumbavu.

Sioni tofauti baina ya huyu mtu na CCM! Yeye anachukia watu weusi katika nchi ya watu weupe, CCM inachukia machotara katika nchi ya watu weusi. CCM inachukia na kuwatesa waislamu wasio na hatia kwa kutangaza neno la Mungu. Ni bora wakakataza uislamu kuwa practiced kama vile Angola.
 
sawa ila maneno haya nenda ukayaseme live somalia ukirudi nitakupa mil. 15 au kama kuna mwingine atakuongezea kaka
 
Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea
kijiti toka kwa Barrack Obama.

Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi.

#MakeAmericaGreatAgain
Mbona anazidiwa hata na Ben Carson kwenye kura za maoni.
 
Wamarekani ni watu waliokomaa kisias, ni watu wasiodanganyika kirahis. Uchagyz wa mwaka huu kiasi utakuwa mgumu kwa pande zote mbili. Democratic kama watamsimamisha Hillary watakuwa na kazi ya kuwashawishi kwa mara pili wapiga kura ili kumchagua rais mwanamke kwa mara ya kwanza. Nasema kuwashawishi kwa mara pili kutokana na ukweli kwamba kumchagua rais Obama ambaye ni mweusi ilikuwa kama kamari na kiukweli walishinda, sasa Cliton itakuwa ni kamari ya pili ya kuwataka wamarekani kufanya maamuzi magumu ya kuchagua jinsia ya kike.

Kwa upande wa Republican nao kumsimamisha Trump ni kamari pia kwani jamaa sera zake hazisomeki sana. Mara anazungumza sera zenye kuvutia, mara anaharibu. Ben Carson nae itakuwa ni kamari nyingine ya kumchagua mtu mweus kwa mara nyingine. Kiujumla vyama mwaka huu vinapaswa vijipange haswa kuhakikisha ushindi waenda kwao
 
Umeandika kitu cha Kipumbavu kabisa. waislamu wapi wanakatazwa kuhubiri dini yao? nch hii watu wanaruhusiwa kuabudu any dini na tumeona hata suala la kuchinja wameachiwa waislamu. wakiaka hata suala la kupika wapewe tu. Kwa style hii sasa naona ni bora CCM iendelee tu. donald trump ana misimamo anayoiamini na anaisimamia hawez unafiki na hilo ndilo linalomfanya aonekane ni mtu wa kufaa. akisema waafrika ni wapumbavu ni kweli kuna ukweli ambao tunaweza kuuona. asilimia kubwa ya nchi zinazopigana kuuana ni za kiarabu na kiafrika. nyie ndugu mna uana mna akili kweli? lazima mtakuwa wapumbavu.
Sasa huo ndio upumbavu uliokuwa nao wewe na watu wenye akili kama zako. Akisema Trump basi yeye ni mtu mwenye kusimamia hoja zake. Lakini akiandika Jabir Idris basi anakuwa mchochezi.

Ukipenda usipende, waislamu Tanzania ni watu wa kuonewa kutokana na system ya utawala wa CCM. Kulikuwa na haja gani ya kumuweka Sheikh Ponda zaidi ya miaka miwili jela bila ya dhamana wakati hatima yake ni kuwa hana makosa na mpaka risasi wamempiga kama vile muhaini. Na hii si mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivi, na hawana walilojifunza. Jee kuna haja gani ya kuwachukuwa masheikh kutoka Zanzibar na kuja kuwafunga Tanganyika wakati kila siku wanaambiwa upelelezi haujatimia. Kama ingelikuwa ni mapadri hawa pangekalika? Uonevu ni uonevu tu iwe kwa waislamu, wakristo, baniani, yahudi, au pagani. Unatakiwa kukemewa.

Suala la kuchinja ni la kibiashara. Inajulikana kibiashara kama mkristo atachinja basi muislamu hanunui lakini muislamu atachinja, mkristo atakula. Hata huko Marekani na Ulaya suala la kuchinja wameachiwa zaidi Mayahudi. Yahudi mwana wa Israil akichinja, muislamu na mkristo anakula. Its strictly for comercial reason, nothing else. Kama unaona kuwe fair basi tupimzike Ijumaa na Jumamosi basi Jumapili iwe siku ya kazi!

As I always say, we all believe in god or not believing in one. To each his own. Injustice inatakiwa ipingwe for the sake of humanity
 
tatizo kubwa ni kuwa kuna dini za watu zinawajenga kuwa waoga na walalamishi dunia nzima. hawajiamini. miaka yote cm ni ile ile anatawala muislam anatawala mkristo akitawala nani ndo anaonea waislamu? huu ni utaahira mkubwa sana. mnawafanya waislamu wote waonekane hawana elimu au uelewa. kama mnaonewa na ccm anzisheni chama chenu si mnasema mpo wengi sana? au hameni nchi. maana kuna nchi za kiislamu kama syria,misri,iraq,sudani, somalia nendeni huko kama mnapenda . zanzibar asilimia 99 ni waislamu nako mnasema CCM inawaonea inawaoneja ena wapiga kura wote ni waislamu? au kuna wakristo hujakuichagua ccm huko? msiwe na akili za kushikiwa tu wakati wote sometime tumieni akili kidogo. hakuna mataifa ya kikristo. kuna mataifa ya kiislamu na huko bado mnaoneana sasa ninyi wapi ambapo hamuonewei? khaaaa....hizi imani nyingine ni kama za kishetani kabisa. waacheni waislamu waelewa wafanye mambo ya msingi ninyi wenye imani mbovu mbovu na kutoipata elimu vizuri mtakaa kusema mnaonewa kila siku. miaka 10 ago rasi was muislamu na dniye aliyemkamata sheikh ponda na sasa jiulize why alimwonea? ficha upumbavu wako usiuweke wazi kana kwamba ni kitu cha kujivunia.
 
Back
Top Bottom