Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Aisee lupango bado angekula ugali wa mlipa kodi, mi nadhani haki yake ni kwenda moja kwa moja kwa Shetani tu maana kwa Mungu Geti lake lilishafungwayangeshika adabu masisiem yana tabia ya kulindana kama huyu Jecha angetakiwa kuwa lupango leo kwa alichokifanya