GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,027
- 119,545
Uliowataja wana Misimamo Mikali kama ya TEC ( Wakatoliki ) hivyo System imefanya UMAFIA ili arudishwe / achukue huyu Malasusa ambaye ni Mtu wa Kujipendekeza kwa Watawala na mwepesi wa Kulambishwa Asali na Kutumika nao Kadri watakavyo kwa Maslahi yao.Askofu Malasusa ametokea wapi tena? Mbona ulitajiwa wagombea ni hawa tu?
1) Askofu Dkt. Benson Bagonza (Karagwe)2) Askofu Dkt. Abednego Kesho (Bukoba)3) Askofu Dkt. Blaston Gavile (Iringa)4) Askofu Dkt. Msafiri Mbilu (Tanga)