LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,469
27,217
04 November 2024

Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda kutumika kukibeba chama dola kongwe CCM kwa, ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=V_IZgv0n_j0

1730744090386.jpeg
 
Naibu katibu mkuu CHADEMA bara, aanika mauzauza ya chama dola kongwe CCM


View: https://m.youtube.com/watch?v=QNp9275z6Go
Wasimamizi wakuu wa uchaguzi 2024 yaani wakurugenzi ma DED makada wa CCM washindwa kuwasimamia wasimamizi wasaidizi ambao wanakimbilia maporini kujificha huku ofisi za watendaji wamezitia kufuli..

Wakurugenzi DED waendesha zoezi la mtihani wa imla, yaani anawasomea insha wagombea wa CHADEMA pekee kuona uwezo wao wa kujia kusikiliza na kuandika wakati hakuna sheria inayompa DED kuweka mtihani huo tena unaolenga watia nia wa CHADEMA tu ...

Watendaji wa chama dola kongwe washirikiana na jeshi la polisi kuwakamata warudisha fomu wa CHADEMA na kuwashililia kituoni hadi muda wa kurudisha fomu upite hivyo wagombea wa CHADEMA waenguliwe katika uchaguzi kwa kuchelewa kurejesha fomu..

Uchafuzi wa aibu ni mwingi ulioibuliwa katika press conference ya leo ...
 
Mkurugenzi DED Halmashauri Korogwe ambaye ni msimamizi mkuu uchaguzi wa serikali za mitaa Korogwe

1730759329896.jpeg
 
04 November 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=V_IZgv0n_j0
Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii inamaana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda kutumika kukibeba chama dola kongwe CCM kwa, ...
View attachment 3143584

Lakini Sikuona wadau wa demokrasia waki wa back up wazalendo watatu, nkya buberwa na wangwe waliofungua kesi kupinga tamisemi kusimamia uchaguzi

Nawaona ccm wako desperate kupata ushindi kwa njia yoyote Ile bila kushindanishwa

Watavuruga uchaguzi ili wajitangaze washindi Hilo tunalijua tayari

Lakini hizi ni dalili za mgonjwa mahututi kukata roho ipo siku atakufa tu
 
Hiii ndo Africa bala GIZA....EU na Nyundo tani 10 ahead......

CCM wanaelekea kukata pumzi ya kuwa chama cha siasa. Maana chama cha siasa ni kueneza sera ili wapiga kura washawishike kuwapa kura halali na siyo CCM kubeba kura za maruhani katika mikoba kujitangazia ushindi.
 
Lakini Sikuona wadau wa demokrasia waki wa back up wazalendo watatu, nkya buberwa na wangwe waliofungua kesi kupinga tamisemi kusimamia uchaguzi

Nawaona ccm wako desperate kupata ushindi kwa njia yoyote Ile bila kushindanishwa

Watavuruga uchaguzi ili wajitangaze washindi Hilo tunalijua tayari

Lakini hizi ni dalili za mgonjwa mahututi kukata roho ipo siku atakufa tu
Kwa bahati mbaya sana, huyu "mgonjwa mahututi" amepania kwelikweli asiage dunia bila ya kuangamiza wanao mzunguka.

Hiki chama kitasababisha maafa ndani ya nchi hii kabla hakijalazimishwa kuachia madaraka.
 
Back
Top Bottom