Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,381
- 4,355
Yeye msigwa pia ni mwananchi wa jumbo lake, aliahidi na akasema "Atakayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili" Sasa yeye kaishapimwa?Wananchi wa jimboni kwake hawajawahi kuomba mbunge wao akapimwe. Lakini sasa angalia huyo... wananchi wake wameomba akapimwe