yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,647
- 3,686
Hilo jengo la Tanesco Rais JPM kasema atalivunja muda wowote kuanzia sasa kupisha ujenzi wa ubungo interchangeSio kazi rahisi, inahitaji utafiti yakinifu kuweza kutengeneza na ukizingatia sehemu yenyewe ina majengo kama tanesco, plaza
Hii tabia ya kuchukua picha kutoka ulaya na singapore mkatuletea wabongo mm huwaga ciipendagi maana kazi ni kututia tamaa tu
Mbona zinaonekana kama picha halisi zilizopigwa mji mwingine na sio plan za kisanifu..
Sio nani katengeneza. Ukiona hii ujue ndio upembuzi yakinifu wenyewe hii video imetengenezwa kwa nusu au robo ya gharama yote ya ujenzi nafikiri engineer mshauri aliyetengeneza huu mchoro anatoka Turkey.Basi kuna video yake ukiiona hio ndio balaa! Sijui nani katengeneza hizo video.
Jembe likiongea najua ni mwisho wa kazi! Maneno kwa vitendo,, sina pasi na shaka ndoto itatimia, huyu jamaa si mchezo! Tsunami!, yuko kwenye daraja la kina Samora Machel, thomas sankara na Yesser arafat.Ujenzi wake unaanza lini?
Picha ni kama zinavyojieleza..
========================================
Update: 27/11/2016
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo hilo.
Rais Magufuli amesema kuwa Serikali imepata shilingi Bilioni 67 kwa ajili ya ujenzi huo hivyo wakati wowote jengo hilo litabomolewa kwa vile lipo kwenye hifadhi ya barabara."
Jiandae kuhama hapo Kenya uende SomaliaKama hiyo flyover ikikamilika kabla sijafa naenda kuishi Somalia.
Naskia Tazara flyovey imekamilika kwa 23%, nguzo zimeshaanza kuinuka kutoka underground, kwa sasa ukipita pale zinaonekanaI am very sure kama hii flyover itaanza kujengwa Ndani ya hii awamu ya jpm, bajeti ya hii flyover 120bn ilipitishwa mwakajana,
Nimeona hatua za awali za ujenzi wa tazara flyover..
Proudly Tanzanian!!
Nyie wakenya mna wivu wa kilof.a sana juzi tu Willy Smith kaja Bongo mkatweet kua yuko kenya...stup.id id.iot...!Kama hiyo flyover ikikamilika kabla sijafa naenda kuishi Somalia.
Sio Tanesco plaza.. Jengo linaitwa Umeme park.. La Kenya linaitwa Stima plaza...Sio kazi rahisi, inahitaji utafiti yakinifu kuweza kutengeneza na ukizingatia sehemu yenyewe ina majengo kama tanesco, plaza
Hiyo umeme park ni lazima ile nyundo tu, maana hamna namna tena kwa sasaSio Tanesco plaza.. Jengo linaitwa Umeme park.. La Kenya linaitwa Stima plaza...
Kwani hawawezi kulizunguka? Kuna moja Japan highway imelipitia katikati. Hizi ndio sehemu za kuonesha ufundi.Hiyo umeme park ni lazima ile nyundo tu, maana hamna namna tena kwa sasa
Sio rahisi.. Liko mbali.. Likivunjwa ujue na Songas haitonusurika.. By the way hilo jengo ni twin towers.. Hata wakivunja, tower moja ita survive...Hiyo umeme park ni lazima ile nyundo tu, maana hamna namna tena kwa sasa
Kama hiyo flyover ikikamilika kabla sijafa naenda kuishi Somalia.
Tutakuja sikia wale wa upande ulee wakijisifia kuwa wao ndio wamefanya hayo kwa kuwa jiji liko chini yao,Ujenzi wake unaanza lini?
Picha ni kama zinavyojieleza..
========================================
Update: 27/11/2016
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo hilo.
Rais Magufuli amesema kuwa Serikali imepata shilingi Bilioni 67 kwa ajili ya ujenzi huo hivyo wakati wowote jengo hilo litabomolewa kwa vile lipo kwenye hifadhi ya barabara."
UPDATE: (12/03/2017)
"Akihutubia katika mkutano mkuu maaalum wa CCM huko mjini Dodoma, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, mh. Dr. John Pombe Magufuli, amesema ujenzi wa Ubungo interchange utatekelezwa kwa gharama ya Bilioni 160 na jiwe la msingi litawekwa mwezi ujao"
=======================================
UPDATE: (20/03/2017)
Mh.Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr.John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ubungo flyover.
News Alert: - Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi