Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

Hizo ni picha au michoro? Kama ni picha zilipigwa wapi hapo? Naona kama ni mambo ya ndoto ndoto hivi.
Kwanza mradi wa mwendo kasi umetumia kiasi gani na gharama za fly overs zikoje? Kwanini mwendo kasi ndo uliipewa kipaumbele wakati hadi sasa unaonesha dalili zote za kufail.
 
Sio kazi rahisi, inahitaji utafiti yakinifu kuweza kutengeneza na ukizingatia sehemu yenyewe ina majengo kama tanesco, plaza
Hilo jengo la Tanesco Rais JPM kasema atalivunja muda wowote kuanzia sasa kupisha ujenzi wa ubungo interchange
 
Basi kuna video yake ukiiona hio ndio balaa! Sijui nani katengeneza hizo video.
Sio nani katengeneza. Ukiona hii ujue ndio upembuzi yakinifu wenyewe hii video imetengenezwa kwa nusu au robo ya gharama yote ya ujenzi nafikiri engineer mshauri aliyetengeneza huu mchoro anatoka Turkey.

 
Ujenzi wake unaanza lini?
Picha ni kama zinavyojieleza..
15749841659_fa7b3401e2_b.jpg


15910077516_fd1876fa0d_b.jpg


15748599880_880bb099ac_b.jpg

========================================
Update: 27/11/2016

"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo hilo.

Rais Magufuli amesema kuwa Serikali imepata shilingi Bilioni 67 kwa ajili ya ujenzi huo hivyo wakati wowote jengo hilo litabomolewa kwa vile lipo kwenye hifadhi ya barabara."
Jembe likiongea najua ni mwisho wa kazi! Maneno kwa vitendo,, sina pasi na shaka ndoto itatimia, huyu jamaa si mchezo! Tsunami!, yuko kwenye daraja la kina Samora Machel, thomas sankara na Yesser arafat.
 
I am very sure kama hii flyover itaanza kujengwa Ndani ya hii awamu ya jpm, bajeti ya hii flyover 120bn ilipitishwa mwakajana,

Nimeona hatua za awali za ujenzi wa tazara flyover..

Proudly Tanzanian!!
Naskia Tazara flyovey imekamilika kwa 23%, nguzo zimeshaanza kuinuka kutoka underground, kwa sasa ukipita pale zinaonekana
 
Ni miezi minne sasa tangu mh. Rais aweke jiwe la msingi, lakini hakuna kilichofanyika site hadi sasa, hata chepe tu hakuna
 
Ujenzi wake unaanza lini?
Picha ni kama zinavyojieleza..
15749841659_fa7b3401e2_b.jpg


15910077516_fd1876fa0d_b.jpg


15748599880_880bb099ac_b.jpg

========================================
Update: 27/11/2016

"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo hilo.

Rais Magufuli amesema kuwa Serikali imepata shilingi Bilioni 67 kwa ajili ya ujenzi huo hivyo wakati wowote jengo hilo litabomolewa kwa vile lipo kwenye hifadhi ya barabara."

UPDATE: (12/03/2017)
"Akihutubia katika mkutano mkuu maaalum wa CCM huko mjini Dodoma, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, mh. Dr. John Pombe Magufuli, amesema ujenzi wa Ubungo interchange utatekelezwa kwa gharama ya Bilioni 160 na jiwe la msingi litawekwa mwezi ujao"


=======================================
UPDATE: (20/03/2017)
Mh.Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr.John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ubungo flyover.

News Alert: - Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

Tutakuja sikia wale wa upande ulee wakijisifia kuwa wao ndio wamefanya hayo kwa kuwa jiji liko chini yao,
 
Back
Top Bottom