Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,474
Chembechembe za ubishi ni hatari sana kwa afya yakoHao ulio wazungumzia ni wanawake wa Jupiter sio hawa wa hapa dunia
je, mwanaume anaefanya hivi pia tuseme ana ubongo wa mwanamke?

Nilikwambia nijiite DanBright, hukujibuChembechembe za ubishi ni hatari sana kwa afya yako
Jiite tuu hakuna neno,Nilikwambia nijiite DanBright, hukujibu
by the way, hv kati ya simba na swala n nani anae ishi kimachale machale eti
View attachment 502343
UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).
Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.
Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.
Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.
***This is how women brains work.
basi huyo ndipo mwanamke... na simba ni mwanaumeJiite tuu hakuna neno,
Swala ndiye aishie kimachale.
Unakataa tu lkn ni kweli me naeza kusoma wakt huo huo na naangalia Tv na bado ntakua na napika au nafanya kingineHao ulio wazungumzia ni wanawake wa Jupiter sio hawa wa hapa dunia
je, mwanaume anaefanya hivi pia tuseme ana ubongo wa mwanamke?
Sasa Mkuu inakuwaje katika kuwavua chupi ili ' Kuwabandua ' hiyo ' fast data transfer ' yako kwa Wao wanawake hugeuka na kuwa ' slow data transfer? ' Je hii hutokana na nini Mtaalam wetu?
Kuna mwanamke jirani yangu hapa nimemuuliza swali lako hili sasa hivi hahahahaha kanijibu huwa wanagundua mapema pia ila wanatufanyia makusudi.
binadamu ambae hawez kufanya mambo mawil matatu kwa pamoja hayo ana upungufuUnakataa tu lkn ni kweli me naeza kusoma wakt huo huo na naangalia Tv na bado ntakua na napika au nafanya kingine
Aiseee.Napenda kuongea kutumia facts.No research no right to speak.
Okay.Ntakuelezea professionally mkuu.Ila kabla ya hapo.Naomba wanawake na wanaume tusidharauliane kwasababu Ni hizi tofauti zetu ndizo zilizofanikisha humanity.
Point ya kwanza mkuu,ubongo wa mwanadamu Una kitu kinaitwa corpus callosum,kwa waliosoma Biology wanaelewa kuwa kazi yake Ni kuunganisha pande mbili za ubongo.Hii corpus callosum inaanza Ku develop ndani ya wiki 26 za ujauzito wa mtoto wakike.Na inakuwa Ni pana(thicker) zaidi ya mtoto wa kiume.
Point ya pili kabla ya hitimisho,upande(hemisphere) wa kushoto wa ubongo kazi yake Ni logical thinking(sijui kutafsiri.ila Ni Kama kufikiri bila kuhusisha hisia).upande wa kulia unahusika na intuition(hii Ni kufikiri kwa kuhusisha hisia mbalimbali).
Utafiti unaonesha kuwa mwanaume anatumia zaidi ubongo wa kushoto.mwanamke anatumia pande zote sawa.kwanini?kwasababu Ana corpus callosum pana inayo unganisha vizuri ipasavyo pande hizi mbili za ubongo.
Point ya tatu.Sehemu ya ubongo ijulikanayo kama hippocampus, inajihusisha na hisia na kumbukumbu.Mwanamke Ana 'gray matter' nyingi kwenye hippocampus kuliko mwanaume.
Point ya nne
'limbic system' kwenye mwili wa mwanamke Ni kubwa na na imeingia ndani zaidi.Ndio Maana wanawake wako kihisia zaidi.na pia wanauwezo wakueleza hisia zao vizuri zaidi.Hii pia inamponza mwanamke kwani anaweza kupata matatizo ya kihisia kama 'depression'.
Point ya tano
Mwanamke Ana ubongo mdogo kwa asilimia nane kulinganisha na mwanaume.Na ubongo mkubwa wa mwanaume unampa 'processing power'kubwa.Ila haimaanishi kuwa Ana akili zaidi.
Ubongo huu mkubwa Ni muhimu ili kuendesha mwili mkubwa wa mwanaume na misuli.Naona hapa mtakuwa mmelewa.
HITIMISHO
Kama umesoma na kuelewa hizo point hapo juu utakubaliana na mimi kuwa;
Mwanaume anauwezo mkubwa wa kufikiri 'straight'.Ila mwanamke Ana uwezo mkubwa wa KUFIKIRI kwasababu anahusisha pande zote za ubongo.rejea point ya kwanza.
Mwanamke hasahau kisahisi.kwaiyo naona wengi mtaelewa kwa nini mwanawake hata ukimfanyia jambo zamani Sana atakumbuka.rejea point ya3.
Mwanamke anatumia zaidi ubongo wake zaidi ya mwanaume rejea point ya pili.Ndio Maana Ana uwezo mkubwa wa 'multi tasking'
Tafiti zilozofanywa na chuo cha loughborough,zinaonesha mwanamke hutumia zaidi ubomgo wake na hivyo anahitaji kupumzika dakika 20 zaidi ya mwanaume.
Nakadhalika
Mkuu nadhani utakuwa umeelewa.Hakuna alirebora,tuko tofauti tu,ili tuwe jinsi tulivyo.
Je vice versa ni kweliView attachment 502343
UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).
Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.
Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.
Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.
***This is how women brains work.
View attachment 502343
UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).
Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.
Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.
Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.
***This is how women brains work.
Hakuna neno
karibu juice ya pera hapaHakuna neno
Kweli kabisaMwanamke hajawahi kuutumia ubongo kumshinda mwanaume mkuu.
Wanawake ni watu wa kukurupuka bila kutumia ubongo/akili. Hufuata matamanio ya moyo/hisia.
Ndio maana wanawake huongoza kwa majuto kuliko wanaume.
Hivyo umeongea uongo