Uber Tanzania: Support thread

Uber mnakera
Kuweni serious
Ungetembelea ofisi ili kujua kama kweli ni uzembe wa madereva au wewe binafsi, sometimes kwa tatizo kama lako huwa unapewa bonus kwa safari zitakazofuata kama njia ya kurudisha nauli uliyokatwa isivyo stahili ila kujua kiundani Tembelea ofisi zao
 
Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.
 
Hongera wakubwa..labda baadae mnaweza mka expand services... Mkaanza kupiga routes ndefu mkikaa pale ubungo kuna wanaoachwa na ma basi, mnaweza mkachukua wajipange labda watatu au wanne muwapeleke mikoani...
Zingatieni usalama lakini....
Gharama itakuwa .kubwa sana wengi hawezi ku afford
 
Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.
Na mimi hii imenitokea Dec 27, niliomba usafiri kutoka maeneo ya mikocheni, gari iliyokuja imechoka na haina A/C, nilipokataa nilichajiwa elfu tatu, mnatakiwa muwe na std ya magari yenu.
 
Kwa nini unapoita Uber,na uka cancel safari,mnakata 3000,nimeshakatwa mara mbili,bila kutumia huu usafiri.Mnatukatisha tamaa,mnatufanya tufikirie kufuta App ya Uber,na wapo watu wameshafuta kwa huku kujikuta ana deni bila kutumia huduma.Hiki kipengele cha kuchajiwa kwa ku cancel trip,kiondoeni.Kwa maana waweza agiza gari ikachelewa kuja,ukapata nyingine,kumbe ile ya mwanza inaandika deni.
Umefiria kuwa unapo cancel isivyo stahili unampotezea muda na kipato dereva ambae kajaza mafuta na tayari yuko njiani? Unapigwa fee ya cancelation kwa sababu nyingi kwa maelezo zaidi unaweza soma kwenye website yao na kama kuna umuhimu wa kucancel na si kwa uzembe wako unaweza kumtaarifu dereva wako ili akusaidie usikatwe..
N.B: Una dakika 5 tangu unapoomba usafiri za kucancel pasipo kutozwa fine, baada ya hapo ndo cancelation fee inahusika
 
Uber sasa hivi imekuwa kero huku kwetu ubungo uber hakuna kabisa kila nikirequest hakuna chaa mnachosha ongezeni magari,ila huduma ni nzuri na nafuu sana
 
Ungetembelea ofisi ili kujua kama kweli ni uzembe wa madereva au wewe binafsi, sometimes kwa tatizo kama lako huwa unapewa bonus kwa safari zitakazofuata kama njia ya kurudisha nauli uliyokatwa isivyo stahili ila kujua kiundani Tembelea ofisi zao
You've got to be kidding me! Simple issue ya kurespond via email or text unataka nije ofisini kwenu!
Mshakuwa wababaishaji
 
Umefiria kuwa unapo cancel isivyo stahili unampotezea muda na kipato dereva ambae kajaza mafuta na tayari yuko njiani? Unapigwa fee ya cancelation kwa sababu nyingi kwa maelezo zaidi unaweza soma kwenye website yao na kama kuna umuhimu wa kucancel na si kwa uzembe wako unaweza kumtaarifu dereva wako ili akusaidie usikatwe..
N.B: Una dakika 5 tangu unapoomba usafiri za kucancel pasipo kutozwa fine, baada ya hapo ndo cancelation fee inahusika
Dreva bado yuko kwenye mataa ya Morocco toka nimuagize,hajafika kokote,na ndio alikuwa hapohapo nilipo mriquest,iweje nimlipe 3000,na hajasogea kokote,ongezeni mda wa kulipa cancelation,kama dakika 15.
 
Über ni huduma nzuri sana kwa watumiaji Kama madereva na Über TZ watakuwa serious na kuacha ubabaishaji. Mimi huwa natumia Über mara kwa mara....kuna kero za baadhi ya madereva kuendesha taratibu ili nauli iongezeke. Zingatieni kanuni za matumizi ya Über services. Hii huduma ni Worldwide msilete ujuaji wa Kibongo bongo, mtatweta.
 
Bring back lost love spells to help you reconcile with your ex-lover. Bring back your lost lover with more love, passion & commitment. Reconnect with an old lover using bring back lost love spells by dr asimura
There are many reasons people breakup or divorce. If you miss your past relationship or marriage and you want your lover back in your life, get bring back lost love spells by dr asimura to heal any misunderstandings. My powerful bring back lost lover spells will pull your ex-lover in your direction.+27787019251
Regain the trust of your ex-lover with my powerful bring back lost lover spells that have worked for thousands of people, they will certainly work for you. Join hands in love with your ex-lover no matter how much time has passed or why you broke up. contact +27787019251 email: drasimura@gmail.com
 
Hello.
Nahitaji dereva wa kuendesha tax kupitia mfumo wa uber. Mwenye yuko interested naomba anitumie namba yake inbox mie ntampigia. Pia ataje anamiliki leseni daraja gan.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Windows Phones, application yenu inaishia tu kwenye verify mobile. Verification code sjui hata sehemu ya kupata,
kama hua mnatuma hua sipati hizo code.
 
Kwenye Windows Phones, application yenu inaishia tu kwenye verify mobile. Verification code sjui hata sehemu ya kupata,
kama hua mnatuma hua sipati hizo code.
Uber pia,app yao iwe na uwezo wa kusearch na kupata gari hata ukiwa nje ya jiji la Dar.Kwa mfano umesafiri nje ya Dar,na unataka kumtafutia Taxi mke,watoto au jamaa,kama mama,baba ambao ni watu wazima na hawana simu ya smartphone.Huwa nawatafutia sana hawa ndugu na jamaa,nikiwa nje ya Dar,lakini app hii Mpya,waliyo update,ina tabu sana.Kumbuleni,mteja wenu,anaweza kusafiri akawa nje ya Dar,lakini ameacha familia yake Dar,na anataka kuwatafutia Taxi.Na pia kuwe na uchaguzi wa aina ya gari ya kukodisha,wakati mwingine,kuna abiria zaidi ya wanne,kuweko na gari za abiria zaidi ya wanne.
 
Nimejaribu kuupload document zangu ikashindikana. Katika process za kujiunga

love thé love or hâte thé love.....
 
Back
Top Bottom