Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Foleni zitapungua kwa kiasi kikubwa sana.

Cha muhimu barabara za dart ziongezeke zaidi.

Wengi wataacha magari yao.
Foleni pale pale. Uber haitopunguza foleni. Labda itachangia kuongezeka kwa kuwa wengi wataanza kutumia huduma hizo. BRT inampunguzia abiria wake muda wa kusafiri kwa kuwa njia zake zipo wazi. Wenye magari binafsi na daladala foleni zao kama kawa.
 
Can you imagine, hii 'think tank' ya chama haijui uber ni kitu gani alafu anasimulia ngonjera za ustawi wa viwanda!!

Mkuu hili bandiko limenichekesha sana...limeakisi (wazungu wanasema lime-capture..uhalisia wa maisha na siasa zetu...) Duh.....JF watu mna vituko jamani! Khaaa..
 
Wewe mwenyewe. Ndo maana naona changamoto kwa Tanzania zitakuwa ni nyingi mno kiasi cha kufanya watu wasifanye hiyo biashara.

Uber ni business model ambayo inaweza kufanya kazi vizuri kwenye mazingira ya kueleweka.

Unless labda kila wanapoenda wanakuwa na tailored approach kulingana na sehemu yenyewe.

Necessity is the mother of invention. Penye changamoto kama hizo ndo kuna fursa. Hivi umeshagundua kwamba kukabiliana na changamoto nyingi especially kwa Africa ni swala la ubunifu tuu? Kikubwa cha kujua ni kwamba kila binadamu .........is willing (provided can afford) to go for a better service. Ndo maana hata na umasikini wetu bado wengi wetu tutakunywa bia kwa Mlatie-777 hata kama bia ni elfu sita..yet mtaa wa jirani kuna pub bia ni Tshs2500. I mean hakuna ambaye hapendi vitu vizuri. Na usisahau kwamba now you are dealing with generation ambayo iko savy na technology na inataka kuishi stress-free life. Kwa hiyo as long as I know I can be guaranteed kufika home salama...will go for it. Kikubwa ni swala la uaminifu. Inabidi wahusika wafanye serious background check.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mtandao wa kampuni za Usafiri kwa njia ya TEHAMA (UBER), yenye matawi yake jijini Francisco Marekani, umezindua programu ya maalum ya simu na kompyuta itakayowaunganisha madereva na wasafiri wao hapa nchini.

Meneja wa kampuni hiyo Alon Lits, amesema, juhudu za kufungua progamu hii nchini Tanzania, ni kufuatia ukuaji wake kiuchumi, ambapo vitendo vya wizi, kuvamiwa na kupoteza mizigo havitakuwepo tena.

Kwa Tanzania ni nchi ya pili kati Afrika mashariki kuingizwa kwa huduma hii ikitanguliwa na Nairobi nchini Kenya, ambapo imefanikiwa kwa kiwango cha juu.

Wakati wa uzinduzi wa huduma hii hapa nchini, Bwana Lits alisema kuwa "Utumiaji wa huduma hii utamuhitaji mtu kupakua programu hii kwenye simu au kompyuta itakayompa maelekezo ya moja kwa moja kuwasiliana na dereva ili afuatwe sehemu alipo, hakuna haja tena ya kuhangaika kusubiri magari kwa muda mrefu."

Naye ofisa mawasiliano wa kampuni hiyo Bwana Samantha Allenberg, aliongeza kuwa, UBber itamwezesha mtu kutafuta usafiri huku akiwa sehemu yoyote ile hata nyumbani au ofisini kwa kutumia GPS ili kumwezesha dereva kufika mahali anapotakiwa kumkuta mteja wake.

Chanzo: Mwananchi
 
Hii kitu niliikuta Mombassa
Kiukweli niliipenda sana

Naona imekua poa kuingia bongo
 
Hao ni madereva wa aina gani? sijaelewa
Ni kampuni ambayo inasajili tax za watu binafsi kwa utaratibu uliopangwa na wao. Hivyo tax na mteja wote watajiunga na uber kwaajili ya kupata huduma. Mteja anapotaka usafiri hupiga simu kampuni ya uber then tax inamfata hadi eneo alipo. Na mfumo unaotumika kufahamu mteja alipo ni GPS. kwa ufafanuzi zaidi subiri wadau wengine waje.
June 15, 2016

Uber-app.png

Uber has officially launched its services in Dar es Salaam, Tanzania. This is the 9th African country and 475th city on Uber’s global network.

As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”.

Uber has been spreading across Africa this year so far. They launched in Ghana last week, and Uganda two weeks ago. Again, I’m wishing Uber the best in this new African country.

=======

Nini hatma ya Bodaboda, Bajaj na Taxi jijini Dar?

=======

Kwa wanaouliza kuhusu Uber:

Uber Technologies Inc. is an American multinational online transportation network company headquartered in San Francisco, California. It develops, markets and operates the Uber mobile app, which allows consumers with smartphones to submit a trip request which is then routed to Uber drivers who use their own cars.

Niliwahi kusema huku kuna watu hawasomi habari wala vitabu wala hawajishughulishi Kujua vitu ila utawakuta wana uwezo wa kuchangia mada sasa huwa najiuliza wanachangia kwa upeo gani? Hapa nimekupata mmoja mkuu! Kampuni kubwa namna hii duniani huijui? Kweli wewe ni KIBOKO
Loooh!!!
 
L
Kuna biashara moja muhimu sana ONLINE na kongwe sana.. naomba ije bongo...!! Madad.a poa waanze kujiweka online, mbona nchi nyingi sana wanajiweka online wadada wazuri na ni biashara halali na serikali inapata kipato kikubwa sana..!! Sijui lini wataanza..!! Napenda sana hii ianze, itasadia sana ajira na huduma itakuwa nzuri sana..!! Wateja tuko wengi sana...!!
Loooh!!!
 
If
Madereva Taxi wa bongo inabidi waitumie hii kama nafasi ya kujikwamua na kupanua wigo wao wa soko.

Wakipinganana nayo itawa'cost kama wale madereva taxi wa France.

If you want to win business in modern world, you should embrace technology, the whole world is heading towards that direction.
You can't win them join them.
 
Eti hela ya mafuta na ya police kwanza...lol!

Yaani mfumo ni shiider!, polepole, tutafika lakini.
Siku hizi mchepuko unamuitia Uber tu.....4000-6000 kafika kwao badala ya mimi kusmbuka kumpeleka au kukodi taxi/bajaj
 
  • Thanks
Reactions: kui
Siku hizi mchepuko unamuitia Uber tu.....4000-6000 kafika kwao badala ya mimi kusmbuka kumpeleka au kukodi taxi/bajaj

Halafu utanambia huo mchepuko wako ni nani, ma bout kukianzisha.
Kumbe mmerahisishiwa hivi!
 
Back
Top Bottom