Ubaguzi waitafuna CHADEMA. Salum Mwalimu alisukiwa Zengwe aukose ukatibu mkuu

20160422_044447.jpg



Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Ukweli 100%
 
Thread ya ovyo kuwahi kuisoma humu. Sishabikii chama chochote,ila ni mfuatliaji wa mambo ya siasa.Huu ni uchonganishi wa wazi baina ya watanzania. Udaku mtupu, hadithi za vigodoro. Hakuna hoja.
 
Kwani chadema nacho chama basi wale ni genge la wahuni tu hakuma chama pale.
 
Ukikuta watawala wanasifu chama tawala jueni kwa hakika kwamba hakuna chama pinzani! Gazeti linaitwa mikakati kwanini? Kwahiyo kila wanachaoandika ni mkakakati zidi ya wengine!
 
Back
Top Bottom